Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 3,951
- 4,264
Kazi ya balozi wa Tanzania huko ni kulinda benki na kucheza gwaride kama mapolisi? Kwanini mwendazake aliwaachia majukumu yote mabolizi? Heb u tumieni kichwa basi katika hadaa zenu.Mkuu umemaliza kila kitu. Barikiwa.