VIDEO: Josephine Mushumbusi akihutubia Singida Mjini

VIDEO: Josephine Mushumbusi akihutubia Singida Mjini

Wivu tuu mwambieni yule wa bosi wenu athubutu kusimama jukwaani kama anaweza ongea bila karatasi ya kuandikiwa na kuhesabu herufi. Ndani ya CHADEMA kila mmoja ni jembe.

Mkuu hayo yote watu hawajakataa wanacho hoji Josephine anafanya ziara ya kichama kama nani tupe cheo chake.
 
Last edited by a moderator:
mkuu hayo yote watu hawajakataa wanacho hoji josephine anafanya ziara ya kichama kama nani tupe cheo chake.

wewe ulitaka nani mwenye cheo kipi na kibali kipi hapa tanzania atueleze wajibu wetu, chochote kinacholenga kuwakomboa unagandamiza, au unataka wale wa kidumukidumu ndo waongee?
 
Wivu tuu mwambieni yule wa bosi wenu athubutu kusimama jukwaani kama anaweza ongea bila karatasi ya kuandikiwa na kuhesabu herufi. Ndani ya CHADEMA kila mmoja ni jembe.
Tofautisha yule anaesimama jukwaani na kutoa takwimu na taarifa muhimu za maendeleo na nchi na yule anaesimama na kuanza kupayuka nakuropoka porojo.
 
wewe ulitaka nani mwenye cheo kipi na kibali kipi hapa tanzania atueleze wajibu wetu, chochote kinacholenga kuwakomboa unagandamiza, au unataka wale wa kidumukidumu ndo waongee?
Kwa hiyo chama chenu kimemtuma kuwatukana watu wa Singida? Lakini mbona kwao Bukoba wamechagua CCM hajaenda kuwatukana?
 
Tofautisha yule anaesimama jukwaani na kutoa takwimu na taarifa muhimu za maendeleo na nchi na yule anaesimama na kuanza kupayuka nakuropoka porojo.

-Wapiga kura wapinga kauli za Lusinde jukwaani....hazikuwa porojo na kuropoka?

- Kanisa Katoliki Lamshukia Wasira kwa kumkashifu Slaa-LASEMA KAMA ANAO USHAHIDI WA WIZI WA FEDHA ZA UJIO WA PAPA AUTOE...hazikuwa porojo na kuropoka?
 
wewe ulitaka nani mwenye cheo kipi na kibali kipi hapa tanzania atueleze wajibu wetu, chochote kinacholenga kuwakomboa unagandamiza, au unataka wale wa kidumukidumu ndo waongee?

Hivi unaamini Josephine atakomboa maisha yako wewe na familia yako anavyoropoka hivyo.
 
Wanakoelekea CDM ni pagumu sana ukizingatia CCM wamejirekebisha sana kiasi cha kuwaaminisha wananchi kwamba wako makini kuliko CDM. kwa kweli kama CCM wataendelea kuwa wasikivu na wachapakazi hivi sijui CDM watatumia turufu gani 2015.

JUST IMAGINE MAGUFULI AU MWAKYEMBE NDIO MGOMBEA WA CCM 2015 unafikiri watu wengi watampigia nani?

Hapo umekosea CCM hajajirekebisha kabisa kuna magamba yanatakiwa yatoke kwanza ndio tuone kweli wana nia na haki za walalahoi. Kuwaacha mafisadi ndani ya CCM hawatapata kura za kuipiku CHADEMA.

Huyu mama kipigo alichokipata kule Arusha kilimuamsha akajua kutafuta haki kuna gharama zake.
kwenye mizunguko yake awajuze wa TZ utofauti wa CDM na CCM ili wakichukua dola tuone huo utofauti. Sijui ana cheo gani ndani ya chama na sijampata anachoelezea kwa undani. Asiyumbishe sera za chama makini kama CDM. VIVA CDM!

Magofuli na Mwakyembe ni wabunge/mawaziri waliojipambanua na mafisadi lakini wao hawatoshi kukivusha CCM ktk uchaguzi wa 2015. Mafisadi yakingolewa CCM watapata heshima ktk uchaguzi wa 2015 lakini kwa maoni yangu dola itachukuliwa na CDM.
 
Sijui mkuu naomba utafahamishe.

Kuna watanzania kibao wanaohitaji kuelimishwa..cyo wewe usiyejua watanzania maskini wanaishije na mara zote huwa unashabikia mambo ya kijinga..ndoa kitu gani? watanzania wanataka ukombozi
 
Mkuu hayo yote watu hawajakataa wanacho hoji Josephine anafanya ziara ya kichama kama nani tupe cheo chake.

Ritz!
Tupe maelezo kwa Katiba ipi inamfanya Mama Salma Kikwete apokewe Kilimanjaro na majeshi ya Ulinzi na Usalama?

zeMarcopolo!
Tupe maelezo ilikuaje MKE WA NAIBU WAZIRI Mama Mwanri AHUTUBIE wafanyakazi wa serikali kinyume na sheria?

NAHISI UMELETA HABARI HII UKIGUBIKWA NA HISIA ZA BIAS TU!
 
Weka kumbukumbu zako vizuri ndoa wewe ndo uliwafungisha.Hawajafunga ndoa mpaka sasa hivi na kazaa nae.
hivi jamani huyo mnaemuita babu si alimkuta huyu bibie akiwa kwenye harakati za kulikomboa hili taifa?? mlitaka alivyoolewa na Dr. aache harakati au?
 
Wanakoelekea CDM ni pagumu sana ukizingatia CCM wamejirekebisha sana kiasi cha kuwaaminisha wananchi kwamba wako makini kuliko CDM. kwa kweli kama CCM wataendelea kuwa wasikivu na wachapakazi hivi sijui CDM watatumia turufu gani 2015.

JUST IMAGINE MAGUFULI AU MWAKYEMBE NDIO MGOMBEA WA CCM 2015 unafikiri watu wengi watampigia nani?

yaani kwa ccm magufuli na mwakyembe ni virus, hawaendani na nyinyi na ujinga wenu, chama chote wachafu wasafi wanahesabika
 
Hichi kikao lengo lake ni kuonyesha tu kuwa yuko powerful kwenye chama, lakini kinachomzungusha mikoani ni kusuka mtandao ili kudhibiti watu fulani ndani ya chama na kusafisha njia kwa watu fulani.
Kuna viongozi waliohoji kuhusu jinsi Josephine anavyotumia rasilimali za chama kwa maslahi ya huu mtandao, walichoambulia viongozi hao ni adhabu kali ikiwemo kufukuzwa uanachama...
Kaka hii ni JF mtu kama mimi huwa napenda kusoma watu wanaoweka na mifano yaani kwa mfano fulani alifukuywa maana tungejua nani alifukuzwa kwa kuhoji hilo sawa, zaidi ya hapo huwa naona kama majungu tu.
 
Hivi unaamini Josephine atakomboa maisha yako wewe na familia yako anavyoropoka hivyo.

Let's Ignore the Human Rights Activist let's ignore CHADEMA ndivyo wewe unataka maana kwanza mlitunyima elimu nzuri mkasoma ninyi ili muibake nchi bila kuulizwa
 
Kuna watanzania kibao wanaohitaji kuelimishwa..cyo wewe usiyejua watanzania maskini wanaishije na mara zote huwa unashabikia mambo ya kijinga..ndoa kitu gani? watanzania wanataka ukombozi

Ukombozi upi wewe Tanzania tumepata uhuru wetu mwaka 1961.

Kina Lema wanawadanganya na misemo ya zamani ya kina Steven Biko. Eti Watanzania wanataka kukombolewa.
 
Ukiona Molemo anajibu kwa kifupi hivyo ujue hana hoja. Actually na yeye ni miongoni mwa waathirika wa chama kuingiliwa na Mushumbusi ila ameamua tu "kufunika kombe mwanaharamu apite".

Maccm mnahangaika sana
 
Last edited by a moderator:
Wanakoelekea CDM ni pagumu sana ukizingatia CCM wamejirekebisha sana kiasi cha kuwaaminisha wananchi kwamba wako makini kuliko CDM. kwa kweli kama CCM wataendelea kuwa wasikivu na wachapakazi hivi sijui CDM watatumia turufu gani 2015.

JUST IMAGINE MAGUFULI AU MWAKYEMBE NDIO MGOMBEA WA CCM 2015 unafikiri watu wengi watampigia nani?
Nilidhani Sheikh Yahya alishafariki.
 
Mkuu, huyu Kawe hana chake. Halima ni kisiki cha mpingo.

Mkuu ZeMarcopolo hahahaaa wewe upo kwa keybord unaropoka na umeingia katika mtego wa wajinga.. 2015 jimbo la kawe litagombewa na Halima, na kwa kiwango kikubwa Josephine ataongoza iyo kampeni..mark my words..mnajadili uadui wa watu marafiki,mnataka kuchonganisha.. Halima sio mswahili yule kaenda shule na shule nayo ikamkomboa hawezi kuingia katika mtego wa kipuuzi huu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom