ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,689
- Thread starter
- #21
mbona mushumbuzi hana shida kabisa?? kama vp unayelalamika nenda na ww ukapige debe
Shida sio Mushumbusi as a person. By the way, she is a very wonderful person. Tatizo ni pale rasilimali za chama zinazotokana na ruzuku ya walipa kodi zinapotumiwa kinyume na taratibu zilizowekwa ambazo tumekubaliana wenyewe katika vikao rasmi.