VIDEO: Josephine Mushumbusi akihutubia Singida Mjini

VIDEO: Josephine Mushumbusi akihutubia Singida Mjini

Kama anakihubiria chama mema hakuna shida ila kama anatumia ufirst lady kujiingza kwny siasa asahau!
 
Angekuwa Salma Kikwete anafanya mikutano hiyo????????? matusi yote yangetukanwa hadi ndani ya nguo lakini kwa Josephine kila kitu sawa
 
Katika hotuba nzima anawananga wana singida kwa kumchagua Dewji, nadhani hapa ndiko chadema wanapokosea, yeye alitakiwa awambie wana singida mjini kama watachagua chadema kuna jambo gani la maana zaid itawafanyie kuliko Billionea Dewji. au awatolee mfano wa jimbo linaloongozwa na Tundu Lisu wamefanya kadha wa kadha sio kuwalazimisha na kuichagua CDM wawaongezee umaskini.
Sisi wa Singida kwa kuwashobokea mabilionea hatujambo,ndo maana Nyalandu na Dewji kazi yao kumwaga mihela tayari wameshinda.2015 mtamtutambua,mnatudanganya na mihela kidogo huko mnasimamia mihela mingi ikitoroshwa na wajanja.
Hatudanganyiki Ng`o!
 
Mke wa Rais ajaye anaruhusiwa kutangaza siasa na kuzungukazunguka lakini mke wa Rais aliyeoko madaraka anatakiwa kukaa ndani siasa kwake mwiko??????????????
 
Mke wa Rais ajaye anaruhusiwa kutangaza siasa na kuzungukazunguka lakini mke wa Rais aliyeoko madaraka anatakiwa kukaa ndani siasa kwake mwiko??????????????

Mama Porojo,
Hata ndani ya CHADEMA viongozi wanafanya sana jitihada za kumdhibiti huyu mama atulie ile tatizo kashafanikiwa kumuweka Dr. Slaa kwenye kiganja na hasikii lamtu.
Ni wazi kuwa viongozi wa CHADEMA hawaungi mkono tabia ya huyu mama kumiss use pesa za chama, lakini wakipiga sana makelele wanaambulia kufukuzwa uanachama.
 
Acha umbea! nafasi yake mbona inaeleweka. Hukuwepo mwaka 2005 wakati salma kikwete alipotia fora ya kampeni ya mumewe?
 
Vijana wa Lumumba wamepiga viroba nini? Siwaelewi kabisa,wanaropoka tu
 
First lady wa mioyo ya watanzania. Acha awaelimishe watanzania kwani tumeibiwa na serikali ya ccm kama chambo.
 
Eti unasema huyu Mama kashambulia nini ?
Nadhani kaongea vyema sana na kushambulia as a personality attack sijaiona hapa .Una lingine for sure .Wewe endeleza hisia za migogoro
 
Tatizo siyo kuhutubia mkuu. Ugomvi wetu ni mambo mawili. Kwanza kutumia pesa za chama kwa maslahi binafsi kwa sababu anachokifanya siyo kazi ya chama ila ni kazi ya kujenga mtandao wake, pili ni kuabuse power kwa kupokelewa kama kiongozi wa kitaifa bila kuheshimu protocol.
Una uhakika gani ni hela ya chama inatumika? Can yo justify your claims?
 
hivi jamani huyo mnaemuita babu si alimkuta huyu bibie akiwa kwenye harakati za kulikomboa hili taifa?? mlitaka alivyoolewa na Dr. aache harakati au?
du ivi aliolewaga lini na padre
 
Back
Top Bottom