Narudia nikuulize wewe kiongozi mimi ni kiongozi wewe usiye naibu mwenye cheo cha tatu katika chama chenu unaniuliza mimi acha kuleta hapa nenda ofisini kwenu kagongegonge meza huko wakakupe ukweli mimi ni jadili nini sasaJadili hoja.Kuna kikao kilichompa Josephine fursa ya kutumia pesa za chama? Je, kwenye vitabu vya matumizi pesa hizo zinaandikwaje?