VIDEO: Josephine Mushumbusi akihutubia Singida Mjini

VIDEO: Josephine Mushumbusi akihutubia Singida Mjini

Mbona huongelei salma kikwete hapo juzi alipofungua mkutano pale AICC,ana cheo gani katika nchi hii?Acha udaku na umbea.Huu ni wakati wa ukombozi toka kwa wakoloni weusi.

Jambo baya likifanywa na CCM na chadema wanaiga,mbona mke wa Kinana anapiga kazi zake tu
 
Hichi kikao lengo lake ni kuonyesha tu kuwa yuko powerful kwenye chama, lakini kinachomzungusha mikoani ni kusuka mtandao ili kudhibiti watu fulani ndani ya chama na kusafisha njia kwa watu fulani.
Kuna viongozi waliohoji kuhusu jinsi Josephine anavyotumia rasilimali za chama kwa maslahi ya huu mtandao, walichoambulia viongozi hao ni adhabu kali ikiwemo kufukuzwa uanachama...

Kwa jinsi unavoongea unaonyesha hisia zako wazi kwamba unawivu wewe na wala huijui siasa... umekaa kaa kuponda ponda kila wakati..... sina Shaka unatumiwa na kina mwigulu... mtu akifanya vizuri asifiwe jamani!!!!!! mbona lile limwalimu lenu linahangaikaga na rasilimali za ccm na hatusemi kitu???
 
Mbona huongelei salma
kikwete hapo juzi alipofungua mkutano pale AICC,ana cheo gani katika
nchi hii?Acha udaku na umbea.Huu ni wakati wa ukombozi toka kwa wakoloni
weusi.

wewe ndo dunya kweli hujui hata Salma Kikwete ana cheo gani?ww lazima tu edit hata uraia wako haiwezekani ukawa huijui nchi yk kwa kiasi kikubwa kama hicho halafu upo tu hapa,punguza mbege bac.....
 
Kwa jinsi unavoongea unaonyesha hisia zako wazi kwamba unawivu wewe na wala huijui siasa... umekaa kaa kuponda ponda kila wakati..... sina Shaka unatumiwa na kina mwigulu... mtu akifanya vizuri asifiwe jamani!!!!!! mbona lile limwalimu lenu linahangaikaga na rasilimali za ccm na hatusemi kitu???
acha upuuzi, unatakiwa huoji kwa nini Josephine anatumia mali za chama na si mke wa mbowe? au ndio wale wale? Taifa hili halitaongozwa na akili ndogo na wamnaopakuliwa.
 
wewe ndo dunya kweli hujui hata Salma Kikwete ana cheo gani?ww lazima tu edit hata uraia wako haiwezekani ukawa huijui nchi yk kwa kiasi kikubwa kama hicho halafu upo tu hapa,punguza mbege bac.....
huyo ni taahira, Mama Salma Kikwete ni kiongozi Wama, pili utofauti kati ya Kikwete na Slaa unaufaham, mmoja ni mwenyekiti aliyechaguliwa na mwenzake kaajiliwa kama katibu mkuu. vuvuzela akili ndogo kazi sana.
 
Back
Top Bottom