Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,126
Ndio demokrasia hata Chadema Zitto na shibuda hawajakubali kuburuzwa na siasa za kitwana.yaani kwa ccm magufuli na mwakyembe ni virus, hawaendani na nyinyi na ujinga wenu, chama chote wachafu wasafi wanahesabika