Hii ni mojawapo ya video za harakati za Josephine Mushumbusi kuusuka mtandao wa wagombea ubunge wa Chadema wa uchaguzi mkuu wa 2015.
Haijafahamika nafasi ya Josephine katika chama, lakini imeelezwa kuwa amekuwa akipewa heshima zote kama kiongozi wa kitaifa katika wilaya anazotembelea, huku akitumia gari la chama lenye bendera na wasaidizi.
Wanaombeza Josephine ni watu wenye fikra fupi sana. Kama mnashindwa kufanya kazi ya kuwaelemisha watanzania rwaelewe wahoji matumizi ya rasilimali zao ili serikali ifanye kazi kwa ufanisi nchi itoke kwenye lindi la umaskini mnakuja kuchambua mambo madogo kama kinamama wanaosutana uswahili mmeishiwa fikra kuliko hata wale wanaouza twiga zetu nchi za nje.
Hivi Josephine si mtanzania? Si mwanachama wa CDM? Je, ni wangapi wanachama wa CDM wanafanya kazi za chama bila kutumia rasilimali za chama? Si kwamba kuna wengine wanajitolea pasipo kuuliza chama kitawapa nini?
Kuna makundi mawili yanayoshiriki huu upuuzi 1. Watu wa ccm wenye fikra fupi. Hawa angalau unaweza kuelewa kwa kuwa ni watu wa ccm wanatetea uovu wa chama chao kiovu na mtu yeyote atakayepita kwenye anga hizo za kuwatolea mfupa mdomoni lazima wapambane naye hata kwa hoja za kipuuzi.
2. Watu wa CDM waliokosa sifa za uzalendo badala yake wangetegemea CDM kuwa kitega uchumi kwao. Hawa ndio wengi na ndio walioibua hoja ya Josephine wakifikiri kazi anazofanya wangepewa wao. Kwao siasa ni sehemu ya kuwapatia kipato na mtu anayekuja kufanya kazi za chama tofauti na wao anawazibia ulaji.
Hawa ndio ninaosema wana vichwa vya samaki. Badala ya kushikana kujenga chama wao wanaangalia nani anafaidi pesa za ruzuku. Mwenzao hata angejitahidi kiasi gani kuliko hata wao ambavyo wangefanya wao watamponda kwa hasira zao za kukosa ruzuku. Watu hawa wangependa umaarufu wao kupitia chama uimarike ili majina yao kwenye jamii ya watanzania izidi kutukuka au ijulikane. Sasa malengo yao yanafifishwa na wale wanaofanya kazi ya chama. Hawa kweli wanafaa kuwa wanachama wa ccm. Waende huko watapata nafasi ya kula wakati wakombozi hawajachukua nchi. Hawana maana kwa taifa zaidi ya kuwa makupe.
Sasa ulitaka akuige wewe usiye na girl friend wala mke? kama unaona wivu oa kisha umfundishe mkeo kuiga mapose yako, very simple!!
Anagombe nini? Umbea tu! Sio uongozi ni ukombozi.
First lady wa mioyo ya watanzania. Acha awaelimishe watanzania kwani tumeibiwa na serikali ya ccm kama chambo.
Hii ni mojawapo ya video za harakati za Josephine Mushumbusi kuusuka mtandao wa wagombea ubunge wa Chadema wa uchaguzi mkuu wa 2015.
Haijafahamika nafasi ya Josephine katika chama, lakini imeelezwa kuwa amekuwa akipewa heshima zote kama kiongozi wa kitaifa katika wilaya anazotembelea, huku akitumia gari la chama lenye bendera na wasaidizi.
Hii ni mojawapo ya video za harakati za Josephine Mushumbusi kuusuka mtandao wa wagombea ubunge wa Chadema wa uchaguzi mkuu wa 2015.
Haijafahamika nafasi ya Josephine katika chama, lakini imeelezwa kuwa amekuwa akipewa heshima zote kama kiongozi wa kitaifa katika wilaya anazotembelea, huku akitumia gari la chama lenye bendera na wasaidizi.
Wanakoelekea CDM ni pagumu sana ukizingatia CCM wamejirekebisha sana kiasi cha kuwaaminisha wananchi kwamba wako makini kuliko CDM. kwa kweli kama CCM wataendelea kuwa wasikivu na wachapakazi hivi sijui CDM watatumia turufu gani 2015.
JUST IMAGINE MAGUFULI AU MWAKYEMBE NDIO MGOMBEA WA CCM 2015 unafikiri watu wengi watampigia nani?
Sasa ulitegemea nini kwa ngozi iliyobadilishwa kutoka rangi halisi kwenda nyeupe mbele ya kibao cha kijana wa kikuria toka FFU?Acha unafiki wewe! Josephine ccm mnamjua, kama umemsahau basi jikumbushe siku mlipo fanya mauaji ya kinyama jijini arusha, Josephine alipigwa ngeo, akalowa damu, picha yake ni moja wapo ya picha eleleshi juu ya udhalimu wa serkali ya ccm na vyombo vyake vya mabavu dhidi ya raia, ambazo zimefika hadi nje ya mipaka ya nchi yetu huko kwenye vyombo vya kimataifa vya kutetea haki za raia, sasa kama hajulikani kwenu kwa nini mlimpasua kichwa??
Nawewe mbulula Tuache na CHADEMA YETU nyinyi mlioshindwa kujivua gamba
Bangi za kuanzia utotoni mbaya sana.Wanaombeza Josephine ni watu wenye fikra fupi sana. Kama mnashindwa kufanya kazi ya kuwaelemisha watanzania rwaelewe wahoji matumizi ya rasilimali zao ili serikali ifanye kazi kwa ufanisi nchi itoke kwenye lindi la umaskini mnakuja kuchambua mambo madogo kama kinamama wanaosutana uswahili mmeishiwa fikra kuliko hata wale wanaouza twiga zetu nchi za nje.
Hivi Josephine si mtanzania? Si mwanachama wa CDM? Je, ni wangapi wanachama wa CDM wanafanya kazi za chama bila kutumia rasilimali za chama? Si kwamba kuna wengine wanajitolea pasipo kuuliza chama kitawapa nini?
Kuna makundi mawili yanayoshiriki huu upuuzi 1. Watu wa ccm wenye fikra fupi. Hawa angalau unaweza kuelewa kwa kuwa ni watu wa ccm wanatetea uovu wa chama chao kiovu na mtu yeyote atakayepita kwenye anga hizo za kuwatolea mfupa mdomoni lazima wapambane naye hata kwa hoja za kipuuzi.
2. Watu wa CDM waliokosa sifa za uzalendo badala yake wangetegemea CDM kuwa kitega uchumi kwao. Hawa ndio wengi na ndio walioibua hoja ya Josephine wakifikiri kazi anazofanya wangepewa wao. Kwao siasa ni sehemu ya kuwapatia kipato na mtu anayekuja kufanya kazi za chama tofauti na wao anawazibia ulaji.
Hawa ndio ninaosema wana vichwa vya samaki. Badala ya kushikana kujenga chama wao wanaangalia nani anafaidi pesa za ruzuku. Mwenzao hata angejitahidi kiasi gani kuliko hata wao ambavyo wangefanya wao watamponda kwa hasira zao za kukosa ruzuku. Watu hawa wangependa umaarufu wao kupitia chama uimarike ili majina yao kwenye jamii ya watanzania izidi kutukuka au ijulikane. Sasa malengo yao yanafifishwa na wale wanaofanya kazi ya chama. Hawa kweli wanafaa kuwa wanachama wa ccm. Waende huko watapata nafasi ya kula wakati wakombozi hawajachukua nchi. Hawana maana kwa taifa zaidi ya kuwa makupe.
Mkuu umeongea ukweli ajulikani na mtei wala nn mvuja jasho 2 UyoChadema yenu? Una uhusiano gani na Mtei?