Hivi Josephine, ni nani ndani ya Chadema hiyo ziara nani kampa ruksa.
Ni First Lady.
Last edited by a moderator:
Hivi Josephine, ni nani ndani ya Chadema hiyo ziara nani kampa ruksa.
Kama wewe unavyomuani Prezzo mpaka unachanjwa m.a.t.ak.oni na kudonolewa damu ya yamini au sio
Mkuu ZeMarcopolo kwa kuwa umenipointi nitasema....Josephine Mushumbusi ni Kamanda na mpambanaji asiyechoka mfano wa Winie Mandela alivyokuwa anapambana wakati mumewe akiwa jela.
Laiti ningekuwa na mamlaka ndani ya Chadema ningesema chama kimtengee bajeti maalum ya kuzunguka mikoani kuhamasisha kinamama ambao bado wamefunikwa na blanketi la woga.
Josephine Mushumbusi alimwaga damu yake wakati alipopigwa kinyama mkoani Arusha mwaka juzi wakati akipigania chama chake cha Chadema.
Josephine Mushumbusi ni zaidi ya mama wa Chadema,nina mpango wa kupeleka maombi maalumu kwenye Kamati Kuu ya Chadema kuangalia namna ya kumtumia mpambanaji huyu asiyechoka kukiimarisha chama mikoani.
Sio bure una maslahi binafsi katika hili.
Single zisizo na melody hizo usishushe heshima ya jamvi JF ilijengwa ikaaminika huwezi kutuletea vitumbua ukasema ni newsHuyu mama ana matusi ya reja reja,amewaambia watu wa Singida wanaitwa chumbani na kupewa tsh 25,000 na 50,000.Hii si kauli ya kiistaarabu hata kidogo sidhani kama anaweza akaitamka kwa wake zake Karatu.
Ni First Lady.
Kwani kuna kosa gani mwanachadema kuhutubia?
Mkuu sana Molemo
Mbona sasa hivi anazunguka kwa pesa ya chama, bajeti gani tena itengwe? Yaani hii haimtoshi?
Na je, wale wakinamama ambao waume zao siyo makatibu wakuu, mchango wao unaheshimiwa vipi? Na wao utawaombea bajeti mmojammoja?
Najua Molemo hayo unayosema hayatoki moyoni lakini unaogopa kukutwa na kilichowakuta wale wote wanaomjadili huyu mama ndani ya chama.
Mkuu sana Molemo
Mbona sasa hivi anazunguka kwa pesa ya chama, bajeti gani tena itengwe? Yaani hii haimtoshi?
Na je, wale wakinamama ambao waume zao siyo makatibu wakuu, mchango wao unaheshimiwa vipi? Na wao utawaombea bajeti mmojammoja?
Najua Molemo hayo unayosema hayatoki moyoni lakini unaogopa kukutwa na kilichowakuta wale wote wanaomjadili huyu mama ndani ya chama.
Hunajustification yeyote fitina tuu na tunakujua humdanganyi mtu hapaTatizo siyo kuhutubia mkuu. Ugomvi wetu ni mambo mawili. Kwanza kutumia pesa za chama kwa maslahi binafsi kwa sababu anachokifanya siyo kazi ya chama ila ni kazi ya kujenga mtandao wake, pili ni kuabuse power kwa kupokelewa kama kiongozi wa kitaifa bila kuheshimu protocol.
Sikiliza video clip sio unatetea ujinga au modem yako ina kb 45 unaogopa kudownload video?Single zisizo na melody hizo usishushe heshima ya jamvi JF ilijengwa ikaaminika huwezi kutuletea vitumbua ukasema ni news
SACCCOs imemfanya Jakaya kabadilisha sekretariati mara tatuEti josephina mama wa chadema kweli hii sacoos inaelekea kubaya.Hapo ndoa bado anasumbua hivi je akiolewa.
Tatizo siyo kuhutubia mkuu. Ugomvi wetu ni mambo mawili. Kwanza kutumia pesa za chama kwa maslahi binafsi kwa sababu anachokifanya siyo kazi ya chama ila ni kazi ya kujenga mtandao wake, pili ni kuabuse power kwa kupokelewa kama kiongozi wa kitaifa bila kuheshimu protocol.
Ndio tatizo la kuchanganya mapenzi na kazi.
Eti josephina mama wa chadema kweli hii sacoos inaelekea kubaya.Hapo ndoa bado anasumbua hivi je akiolewa.
Mkuu sisi Chadema tumeridhika kabisa.Wewe kinakuuma nini?
Mkono upi au na wewe unataka kuleta za Le mutuz na kiranja?ZeMarcopolo Josephine ni mwanamke shoka na mpambanaji asiyechoka.Nitamuunga mkono mpaka mwisho wa uhai wangu...!