Baba yako anaruhusiwaHivi Padri anaruhusiwa kuwa na Girlfriend ?
Baba yako anaruhusiwaHivi Padri anaruhusiwa kuwa na Girlfriend ?
Vipi mbona una hasira hivi ?Sasa hili ndio jibu gani ?Baba yako anaruhusiwa
First lady wa mioyo ya watanzania. Acha awaelimishe watanzania kwani tumeibiwa na serikali ya ccm kama chambo.
MwanaMama yuko kwenye mapambano ya uongozi ndani ya chama kupitia jukwaani. Who does'nt like Tsh140 million free loan with interest free
Baadhi ya viongozi,Wanachama na wapenzi wa CDM ni wepesi kuonyosha vidole kwa wengine pale linapokuja swala la matumizi ya raslimali lakini kwa huyu MwanaMama wako radhi kufumba macho kama hawaoni na kuzipa mdomo (cowardliness). Hii ina maana kuwa, dictatorial practises is well and truly with impunity within CDM machinery kwa 'wenye' CDM.
MwanaMama hata sauti, pose na presentation anajitahidi ku copy & paste kutoka kwa boyfriend wake.
The message is loud and clear. Fight against us and you'll face the consequences or Join us and keep your mouth shut, You'll be spared enough to make your life simple
mkuu nyinyi ndo wale wa kikosi maalum mliopo Lumumba na Ikulu mnao monitor mitandao au?du ivi aliolewaga lini na padre
Anagombe nini? Umbea tu! Sio uongozi ni ukombozi.MwanaMama yuko kwenye mapambano ya uongozi ndani ya chama kupitia jukwaani. Who does'nt like Tsh140 million free loan with interest free
Baadhi ya viongozi,Wanachama na wapenzi wa CDM ni wepesi kuonyosha vidole kwa wengine pale linapokuja swala la matumizi ya raslimali lakini kwa huyu MwanaMama wako radhi kufumba macho kama hawaoni na kuzipa mdomo (cowardliness). Hii ina maana kuwa, dictatorial practises is well and truly with impunity within CDM machinery kwa 'wenye' CDM.
MwanaMama hata sauti, pose na presentation anajitahidi ku copy & paste kutoka kwa boyfriend wake.
The message is loud and clear. Fight against us and you'll face the consequences or Join us and keep your mouth shut, You'll be spared enough to make your life simple
Una uhakika gani ni hela ya chama inatumika? Can yo justify your claims?
Penzi kitovu cha uzembe!
First lady wa mioyo ya watanzania. Acha awaelimishe watanzania kwani tumeibiwa na serikali ya ccm kama chambo.
Penzi kitovu cha uzembe!
Babu kashawekewa LIMBWATA la kanyigo hakurupuki hapo chezea nshomile wewe........na tutaona mwisho wake
Anagombe nini? Umbea tu! Sio uongozi ni ukombozi.
Hii ni mojawapo ya video za harakati za Josephine Mushumbusi kuusuka mtandao wa wagombea ubunge wa Chadema wa uchaguzi mkuu wa 2015.
Haijafahamika nafasi ya Josephine katika chama, lakini imeelezwa kuwa amekuwa akipewa heshima zote kama kiongozi wa kitaifa katika wilaya anazotembelea, huku akitumia gari la chama lenye bendera na wasaidizi.
Mkuu ZeMarcopolo kwa kuwa umenipointi nitasema....Josephine Mushumbusi ni Kamanda na mpambanaji asiyechoka mfano wa Winie Mandela alivyokuwa anapambana wakati mumewe akiwa jela.
Laiti ningekuwa na mamlaka ndani ya Chadema ningesema chama kimtengee bajeti maalum ya kuzunguka mikoani kuhamasisha kinamama ambao bado wamefunikwa na blanketi la woga.
Josephine Mushumbusi alimwaga damu yake wakati alipopigwa kinyama mkoani Arusha mwaka juzi wakati akipigania chama chake cha Chadema.
Josephine Mushumbusi ni zaidi ya mama wa Chadema,nina mpango wa kupeleka maombi maalumu kwenye Kamati Kuu ya Chadema kuangalia namna ya kumtumia mpambanaji huyu asiyechoka kukiimarisha chama mikoani.