Video: Jinsi wanufaika wa utawala wanavyowafanya Viongozi wa kisiasa kuwa miungu watu

Hapa ni iliyo kuwa Zaire kipindi cha nyuma wanufaika wa rais wa zamani wa nchi hiyo wanavyo muimbia nyimbo za mapambio.

Tabia hizi ni za kibinafsi sana kwani ni kujirahisishia au kujisafishia njia kwa bwana mkubwa ili kuyajaza matumbo yao.

Hii tabia haina nafasi tena kwenye karne hii tuliyo nayo.


Aiseeee !!
 
Back
Top Bottom