share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,062
- 10,461
Hapa ni iliyo kuwa Zaire kipindi cha nyuma wanufaika wa rais wa zamani wa nchi hiyo wanavyo muimbia nyimbo za mapambio.
Tabia hizi ni za kibinafsi sana kwani ni kujirahisishia au kujisafishia njia kwa bwana mkubwa ili kuyajaza matumbo yao.
Hii tabia haina nafasi tena kwenye karne hii tuliyo nayo.
Uchafuzi Mkuu Tanzania wa tarehe 28 Oktoba 2020 unatupeleka huko.