Video: Jinsi wanufaika wa utawala wanavyowafanya Viongozi wa kisiasa kuwa miungu watu

Hapa ni iliyo kuwa Zaire kipindi cha nyuma wanufaika wa rais wa zamani wa nchi hiyo wanavyo muimbia nyimbo za mapambio.

Tabia hizi ni za kibinafsi sana kwani ni kujirahisishia au kujisafishia njia kwa bwana mkubwa ili kuyajaza matumbo yao.

Hii tabia haina nafasi tena kwenye karne hii tuliyo nayo.

Sisi ni zaidi ya hiyo Zaire mkuu
 
Mobutu ilikua kabla ya taarifa ya habari ya usiku kwny TV haijaanza anaonyeshwa akishuka kutoka mawinguni,nadhani soon ndicho kinachoenda kufanyika kule kwny nchi ya PORTLAND.
 
Je, Kwa maoni yako Tz tumefika au ndio tunakaribia
Tumeshafika huko ukisikiliza watu kama akina masanja mkandamizaji unaona kabisa jinsi walivyojitoa ufahamu
Juzi kwenye uapisho wa pm nilimsikia akipamba eti spika aongeze kanuni ile jiwe aweze kutumbua wabunge halafu eti ingekuwa hivyo angeshakuwa ametumbua kibao na bungeni wangebaki 7 tu nikajiuliza hivi anafikiria Kwanza kabla ya kuongea? Yaani siku hiyo aliongea mambo ya kijinga na kipumbavu Sana
Yaani ndio watu design hiyo enzi za Mobutu pamoja na wanayemsifia mobutu mwenyewe aka jiwe
 
Kalamagamba kabugi nae akaanza kujipachika msululu wa majina ... si Jiwe akamshtukia! ... yaani, kwa mlolongo huo wa majina, akipewa nchi tutakuwa tumepata Mobutu wa Bongo!
👊😅✌️
 
Mobutu ilikua kabla ya taarifa ya habari ya usiku kwny TV haijaanza anaonyeshwa akishuka kutoka mawinguni,nadhani soon ndicho kinachoenda kufanyika kule kwny nchi ya PORTLAND.
Mtawala wa kule nchi ya kusadikika anatamani utawala wa kina Maboutu
 
Mbona hata dimondi na hamonaizi na wao huwa wanamuimbia wetu na kukata mauno, ni suala la burudani tu
 
Hapa ni iliyo kuwa Zaire kipindi cha nyuma wanufaika wa rais wa zamani wa nchi hiyo wanavyo muimbia nyimbo za mapambio.

Tabia hizi ni za kibinafsi sana kwani ni kujirahisishia au kujisafishia njia kwa bwana mkubwa ili kuyajaza matumbo yao.

Hii tabia haina nafasi tena kwenye karne hii tuliyo nayo.

Umekuja Tena, tuliwaambia mkakojoe mlale watoto ile ngoma ya watu wazima hamuiwezi mkakaidi mkaleta Lissu na beberu wake mkapata kichapo Cha shoga mwizi Sasa umeanza za Mobutu.
Vipi huko ukimbizini nyumbu pingapinga Fc wanaendeleaje?
 
Inamaana wewe juzi ulipo chapwa kumbe ni shoga?
 
Back
Top Bottom