Video: Jinsi wanufaika wa utawala wanavyowafanya Viongozi wa kisiasa kuwa miungu watu

Lengo la post ni kumpiga nyundo JPM , lakn jaman si tulipiga kampeni wote , tukatukana tukahamasishana , tukazomea .... Mda wa kupiga kura ukafika wananchi wakapanga foleni , matokeo yakatoka, wengine wakaamua kuondka kwenda ughaibuni Kula Maisha , JPM amebak na kuweka Sawa Serikali yake nasi wananchi tupo tunapambana na Maisha kupata mkate wa kila siku.

Lakn bado mnamuita dikteta, analambwa miguu , duuuh Aya bhana
Hakukuwa na uchaguzi pale!, Watu walikuwa na matokeo yao mfukoni
Wewe kwa akili zako unaamini Hussein Mwinyi kapata 76% na Maalim Seif below 20%?
 
Sasa hapo ungemkuta Luambo Makiadi na gitaa lake ndiyo ungeshangaa kabisa anavyomsifu Mobutu.
Hapa kwetu siku hizi huwa tunaimba kale kanyimbo ketu pendwa kanasema hivi "Tuna Imani"

Tuna Imani na Magufuli Oyaa oyaaa oyaaa!
Tuna Imani na Lowassa Oyaa Oyaa Oyaaaaaa!

It's just a Monkey Business and a load of baloney.
Kwani mkuu kuwa mfuasi wa mwanasiasa ni vibaya?
 
Uwepo wa udikteta afrika si tatizo tatizo ni wapambane ambao ndio wanufaika Kama kupe kwa dikteta. Hofu yao ni kukosa pa kufyonza dikteta akiondoka madarakani wao ndo umpa dikteta assurance abakie madarakani watamlinda lengo kuu ni kunufaika pia hofu akiingia mwingine ataweka watu wake. Hii uitwa ubinafsi wa mwafrika wa tumbo langu kwanza hata Kama wengine waumie, wafe, nk. Tofauti na wenzetu wao Jamii kwanza thus kwao mtu yupo radhi kuacha maslai yake kwa ajili ya wengine.
 
Lengo la post ni kumpiga nyundo JPM , lakn jaman si tulipiga kampeni wote , tukatukana tukahamasishana , tukazomea .... Mda wa kupiga kura ukafika wananchi wakapanga foleni , matokeo yakatoka, wengine wakaamua kuondka kwenda ughaibuni Kula Maisha , JPM amebak na kuweka Sawa Serikali yake nasi wananchi tupo tunapambana na Maisha kupata mkate wa kila siku.

Lakn bado mnamuita dikteta, analambwa miguu , duuuh Aya bhana
Hivi unayajua madhambi yaliyotendeka wakati wa uchaguzi au ndo kibaraka na mmoja wa malaika wa magu?
 
Bavicha lazima mkione cha moto mwaka huu
Mkuu hapa umeongea na nimekujua in full colour why bavicha wakione Cha moto,kwa kosa gani, wamefanya nini, bavicha ni wakimbinzi ndani ya taifa hili,? Nani mwenye kumiliki taifa hiki? Je mkuu kwa maneno haya wamanisha,au watania mkuu?
Kama ni kweli umanisha ,mungu akupe afya ya kuishi miaka mitatu,
Imekua Kama aishivyo bwana, maana ndie ajuae kusudi, la kila mwanadam,
Mkuu ,mkuu, mkuu haya mkuu
 
Dikteta ni mtu aliyepata dosari za malezi utotoni ikiwemo kusifiwa utotoni. Wengi wao huwa waliruka stage za makuzi, thus upenda kusifiwa, kuabudiwa ukubwani (sifa za kike).Mjinga mpe ukubwani ili njia ya chooni isiote nyasi. Madikteta wote ni uzao wa tumbo moja wote ufanana sifa.
Ubinafsi
Uchoyo
Ufisadi
Uzinzi
Ushirikina
Uuaji
Wizi
Ukatili
Kuabudiwa
Kusifiwa
Uoga
Kutojiamini
Umalaya
Unafiki
Uongo
Propaganda
 
Tatizo ni kundekeza njaaa
Then mfumo ukiwatupa usikii wakiimba tena,thus atumsikii bashite,kange,nkamia,musiba wakiendelea kusifu hata kwa kutoa viclip clip wa kuendelea kumsifu mungu wao sababu sio wanufaika tena. But kama wakirudishwa mezani tena lzm waendelee na unafiki tena
 
Exactly
 
Ni bora hlo jina ubadilishe,mana Kadhi hawezi kuwa zumbukuku na poyoyo kama ww
Umekuja Tena, tuliwaambia mkakojoe mlale watoto ile ngoma ya watu wazima hamuiwezi mkakaidi mkaleta Lissu na beberu wake mkapata kichapo Cha shoga mwizi Sasa umeanza za Mobutu.
Vipi huko ukimbizini nyumbu pingapinga Fc wanaendeleaje?
 
Back
Top Bottom