Salamu ya Shkamoo ipigwe marufuku

King Jody

JF-Expert Member
Oct 8, 2022
914
1,704
Shkamoo inamaanisha niko chini ya miguu yako;

Salamu ya kidikteta;

Salamu ya kitumwa;


Kwa mtazamo wangu salamu hii haina maana, ipigwe marufuku kabisa,

Lugha yetu pendwa ya kiswahili ina utajiri wa misamiati mizuri inayoweza kutumika kama salamu badala ya neno shkamoo, kwa mfano; Habari za asubuhi, umeshindaje, habari ya uzima, hujambo nk.

Najua wajumbe wa baraza la kiswahili Tanzania [BAKITA] Wapo humu, ni matumaini yangu watalifanyia kazi jambo hili.

Naomba kuwasilisha
 
Binafsi wazazi wangu waliikataza ni sijazoea hiyo salaam , ni asalaam alykum.. au habari ya asubuhi
 
..
 

Attachments

  • Screenshot_20240106-094422.png
    Screenshot_20240106-094422.png
    18.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240106-095754.png
    Screenshot_20240106-095754.png
    13.6 KB · Views: 2
Back
Top Bottom