yabumbuluke mara ngapi?Serikali Dhaifu, Usalama wa vasco dhaifu na hata walio andaa mashambulizi ni dhaifu na mambo yao wanayapeleka holela holela ndio maana wanaumbuka na mda si mrefu mambo yata bumbuluka :israel:
Wengi tunaotumia laptop hatuoni
Nikweli dada ??u mean tunaotumia sim twaona?????
Kuna mtu yoyote amesikia tamko rasmi la Chama cha Mapinduzi (CCM) kuhusiana na unyama uliomkuta Dr Ulimboka? Tamko lolote, liwe la kupongeza, kulaani, kutaka uchunguzi (huru au wa polisi), lolote. Na kama CCM hawatoa tamko kwanini? Siku 10 hawajatoa tamko lolote?
Wakuu,
Baada ya kusikia maneno toka kwa wadau mbalimbali, toka magazeti mbalimbali na vyombo vingine vya habari juu ya NINI kilimsibu na NANI anahusika; tumeona ni vema kuwashirikisha video hii ili mweze kusikia toka kinywani mwake mwenyewe.
Nikiweka maneno mengi nakuwa nachakachua, ni vema kukupeni alichokiongea kwa kinywa chake.
NB: Video hii ruksa kutumiwa na vyombo vingine vya habari kuwahabarisha wengine wasio na access na JamiiForums
Nikweli dada ??