VIDEO: Dr. Ulimboka; kwa kinywa chake mwenyewe! | Ambayo hukuyajua...

Kwa hapa huu mchezo ulipo fikia ni swala la muda tu maana tayari uchi uko wazi, hata kama tume ikiundwa kama itakuwa kinyume na hisia zetu pamoja na haya tunayoshuhudia kwenye mikanda bado serikali ina maswali ya kujibu.

Asante Invisible, take big cares of yourself wasije waka ku Uli...
 
kompyuta yangu inakataa kufungua na kuna watu pia wanatumia simu, naomba baadhi ya wadau muelezee kwa maandishi anachozungumza Dk.Ulimboka kwenye hii video.
 
duuuh! nasisi nao tumezidi upole wakijinga,mgonjwa kasema wazi ni ikulu bado tunasubiri matokeo ya tume? shame on us!
 
Hatuna serikali,tuna genge la wahuni na wauaji.Tume huru iundwe mapema hatuhitaji hizi blaablaa na uswahili wa hawa majambazi ya ccm
 
Invisible, hata hivyo wakina Zomba,Chama,Kimbunga,Ritz na Rejeo watakuja hapa na watabisha
au watasema hayo maneno amefundishwa na Chadema aseme hivyo.

Usipende kuwasemea watu matatizo aliyopata Dr Ulimboka ni makubwa sana na yanaudhunisha sasa usitake kuyatumia kama mtaji wa kisiasa, mie binafsi namuombea Dr Ulimboka apone uovu aliofanyiwa ni mbaya sana, usitake kulifanya suala la Ulimboka ni la Chadema, linawahusu Watanzania wote wameguswa, tumuombea apone acha ushabiki kwenye mambo ya kibinadamu.
 
Usipende kuwasemea watu tatizo matatizo aliyopata Dr Ulimboka mnataka kuyatumia kama mtaji wa kisiasa, mie binafsi namuombea Dr Ulimboka apone uovu aliofanyiwa ni mbaya sana, usitake kulifanya suala la Ulimboka ni la Chadema, linawahusu Watanzania wote wameguswa, tumuombea apone acha ushabiki kwenye mambo ya kibinadamu.
afadhali umeacha bange
 
JK na serikali yake wanahusika. Na je wale wabunge wako wa ccm waliosimama pale bungeni na kutamka waziwazi
kuwa Chadema ndiyo wamemteka na kumpiga Dk Ulimboka walikuwa wamelewa gongo? Narudia tena JK na serikali
yake wanahusika
kwenye umafia huu. Utaki unaacha
 
Inahuzunisha sana. Sijui wanasubiri uchunguzi wa nini tena wakti kila kitu kiko wazi.
 
JK atakufa vibaya kama ni yeye kawatuma kumfanyia Uli hivi,mungu aliye hai atamuadhibu tu
Waliofanya hii kazi hawakutumia mbinu Kali/ foolproof , kwa maelezo ya mlalamikaji, kuna ushahidi wa kutosha kuwa Ni polisi au usalama wa taifa. Mie nilikuwwa polisi for five years na mbinu waliyotumia nimeitumia sana kwa majambazi sugu pale unapotaka ataje wenzake au aonyeshe alikoficha silaha au Mali aliyoiba. Mie nilikuwwa natumia priers/koleo nakubana mapumbu mpaka utasema. Au tutakudunda Kama mpira wa kona . Na Maria nyingi hutokea pale mshitakiwa atakapoonyesha Dharau kwa Askari kujiona ka soma sana au ana hela nyingi
 
Usipende kuwasemea watu matatizo aliyopata Dr Ulimboka ni makubwa sana na yanaudhunisha sasa usitake kuyatumia kama mtaji wa kisiasa, mie binafsi namuombea Dr Ulimboka apone uovu aliofanyiwa ni mbaya sana, usitake kulifanya suala la Ulimboka ni la Chadema, linawahusu Watanzania wote wameguswa, tumuombea apone acha ushabiki kwenye mambo ya kibinadamu.
Ritz hapo sina Maneno na wewe huo ndio ubinadamu
 
duh, hao jamaa utazani ni wale walioenda kumkamata Osama, kah....
kweli mze wa kaya hawez kuchomoka juu ya hili sakata
 
nimefanikiwa kuisikiliza na kuiangalia video yote....huu unyama hakustahili kufanyiwa binadamu.....hakuna haja ya kuunda tume isispokuwa ni sisi wananchi kuamua moja juu ya mambo ya kidhalimu yanayoendelea....kumbe walitaka kumzika mzima...serikali ya kikwete ina la kujibu na hakuna haja ya kuunda tume juu ya hili...tuamke
 
Back
Top Bottom