VIDEO: Dr. Ulimboka; kwa kinywa chake mwenyewe! | Ambayo hukuyajua...

Mkuu kabla sijaona video ya jinsi walivyomjeruhi na maelezo yake, nilikuwa pia nikidhani kuwa hakuwa na nia ya kumwua, lakini ukweli ni kwamba walitaka afe akiteseka zaidi, na pengine ndo maana hakwakumpiga risasi.Huyu sidhani kama walikuwa na nia ya kumwona akiwa hai tena, sidhani.


OK tuchukulie you are right... ni kwanini watumia amateur means? sababu uwezo wakumaliza kimafia ambayo hai draw attention zipo. Tunaweza tusiwe na ushahidi but haya mambo yapo... You think hakuna hapa nchini watu waliuawa sababu walikuwa kikwazo na hadi sasa majority hatupo aware?

Take note; aliyekuwa anamtafuta kamtafuta zaidi ya siku tatu na Dr. Uli alishindwa onana nae sababu aliwa busy sana (as per his own words), can you not observe it as fishy? From what i understand kama serkali wamefanya hivo basi kuna positive ya majority kujua ukweli wa hili jambo than the negative... hiio naipata nikiiangalia from without the box.
 
hiyo mbona rahisi Dr Kupeng'e... Click kwenye hiyo link udownload na kupata the latest version of Flash player. Then install... jaribu kufungua tena, hopeful itakubali na pia hakikisha kama internet speed yako haiko chini sana!:hat:
 
This was a failed assassination attempt,kova umeipata hiyo?tuangalie utatupa majibu gani,too bad u can't lie on this matter,to make it worse u are messing with very inteligent people,they are doctors for Gods sake,they are extraordinarily extraordinary clever people,yetu macho
 
OK tuchukulie you are right... ni kwanini watumia amateur means? sababu uwezo wakumaliza kimafia ambayo hai draw attention zipo. .
Mkuu inawezekana something went wrong kwenye plan nzima ndo maana machoni petu inaoenekana kama ni "amateur means"

Shida ni kwasababu, kwanza walimtorture na kutaka kupata maelezo kutoka kwake kuwa "nani yuko nyuma ya mgomo wao"

Inawezekana kulitokea something, maybe some dissaggrement miongoni mwao wakati wakifanya unyama huo.

Damu aliyopoteza na majeraha aliyonayo, ni wazi walitegemea afe.
 
Nakushukuru Invisible kwa kutupa vitu visivyochakachuliwa.

Sasa jitahidi hiyo kamera yako ielekeze kule anakotibiwa ili tupate vitu vizuri zaidi. Maana vyombo vya habari vya serikali vinatubania maana serikali inaogopa kuumbuka kwa wakwe (wananchi) wakati imecheza sarakasi ikiwa imefunga taulo
 
Invisible namuamini sana! Lakini hii kitu mbona imechelewa sana?
Mkuu,

Timing ni muhimu; kwa wakati huo kila media iliandika cha kwake. Mengi yamesemwa, hata hivyo tunabadilisha video; tunawapa full version ambapo kaongea kwa kirefu (21min) na labda kuna mtakachopata cha kueleweka.

Nadhani ni wakati muafaka bado. Maana videos zaidi zinakuja...
 
Tunaweka FULL version (21min); hii ya 3min tulitaka hata wanaotumia simu wapate; then in this case, itabidi tuiweke nzimanzima na mkiwa kwenye PC mtaangalia kwa uzuri zaidi.

lini na saa ngapi mtaweka? maana iwe kama ile ya paruwanja ya mihadarati kenya,iliwekwa in second ikawa crushed hata hatukuweza kuona wala kudownload
 
Tunaweka FULL version (21min); hii ya 3min tulitaka hata wanaotumia simu wapate; then in this case, itabidi tuiweke nzimanzima na mkiwa kwenye PC mtaangalia kwa uzuri zaidi.

Invisible utakuwa umefanya jambo jema sana...hii ni kama ume beep na si unajua tena wangine hawataki tujue yaliyo upande wa pili wa pazia
 
Tumeweka access kwa devices zote, na tumeruhusu watu kuweza ku-embed kwenye tovuti zao ili kusambaza ujumbe. Hakuna watermark!

Unatumia PC?

@invinsible natumia htc touch pro2 nimeshindwa kuona. please help

lukansola.
 
Tunaweka FULL version (21min); hii ya 3min tulitaka hata wanaotumia simu wapate; then in this case, itabidi tuiweke nzimanzima na mkiwa kwenye PC mtaangalia kwa uzuri zaidi.

Hata kama sterling atakufa kwenye trailer lakini movie lazima iishe
 
Nchi yetu imezidi kuwa dhaifu. Hata walioajiriwa kwa ajili ya kuua tu nao wamekuwa dhaifu hata kuua mtu mmoja wameshindwa.

Naogopa sasa maana hata tukivamiwa na Burundi wanaweza kutudunda mpaka tukakimbilia Shimoni huko Mombasa
 
Mkuu,

Timing ni muhimu; kwa wakati huo kila media iliandika cha kwake. Mengi yamesemwa, hata hivyo tunabadilisha video; tunawapa full version ambapo kaongea kwa kirefu (21min) na labda kuna mtakachopata cha kueleweka.

Nadhani ni wakati muafaka bado. Maana videos zaidi zinakuja...

Jamani hizi video tuzitunze tayari kuzipeleka kwa OCAMPO, THE HEAGUE
 
serikali ni dhaifu, haiwezi kamwe kukwepa hisia zetu kuhusu utata wa dk, ulimboka
 
Back
Top Bottom