Video: Diamond Platnumz-Eneka (Official video)

Wimbo mkali tatizo ni beat producer kasample kutoka kwenye nyimbo ya RunTown na Fall ya Davido

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Mmiliki wa Trends za hiyo midundo ni TECNO hata DAVIDO kachomokea huko huko.

- In short naona kama TECNO amekuwa GAME CHANGER hususani kwenye midundo na videos, maana complicated videos za malamborgin na madege watu washazichoka
braza huyu jamaa huwez kumtetea kwa ku sample hiyo beat
 
Audio ni nzuri sana tu, ila video mbovu, kwa maana ya kwamba haiendani na mahadhi ya audio ilivyo...
 
Aidha producer wa Dayamondi bado ni mchanga sana Dayamondi inabidi abadilishe producer wake au afanye kazi na wengine Kama anataka kwenda mbali zaidi. Ni kweli Kazi zake za hivi kairbuni zinafanana sana Pamoja na zile za wasanii wengine wa label yake ya wasafi. Lizer hana creativity ya kutosha. I miss u ni wimbo mzuri aliotoa hivi karibuni sikushangaa nilipojua Tudd Thomas ndo katengeneza

hapa nimekupa heko
 
veeery nice Diamond,whether umecopy or not,lol kwani utakuwa wa kwanza msanii kukopi?lol
Dayamondi ni msanii mkubwa hawezi kucopy bali kafanya sampling. Sampling kwenye music ni kitu cha kawaida kabisa kama taratibu zitafuatwa. Alifanyia sampling wimbo wa Saida Karoli Karanga mbona watu hawakulalamika na badala yake walipenda. Alimlipa Saida pesa na Mama akatoa kibali. FA alifanya sampling ya Yalaiti mbona hawakulalamika. Wabongo wanatokwa povu bila sababu

Sijausikia huo wimbo wa Davido nina allergy na mziki wa wawest siupendi kabisa so sijui zinafanana kiasi gani.
 
Wimbo mkali tatizo ni beat producer kasample kutoka kwenye nyimbo ya RunTown na Fall ya Davido

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Davido mwenyewe kalalamika? Mbona aliposamle Karanga ya Saida Karoli mlipenda
 
Janja janja inapozidi
Iyo sio account official ya Vanesa ni ya jamaa tu baki na iyo video imetolewa na watu wa Vanessa youtube uwezi ukapost video za wasanii wanaojilewa kwny ac yko binafsi ikabaki hewan ndani ya masaa 24

Sent from my GT-S7562 using JamiiForums mobile app
 
CEO wa WCB kaachia tena video ya ngoma ya Eneka kama alivyotoa ahadi ngoma baada ya ngoma,
Ipo poa au kazingua?

Kuna biti moja ya kwenye msingi kaiba ya Fall, bahati mbaya producer wake mond kashindwa kabisa kuipaka rangi ionekane tofauti, juu ya huo msingi kaweka biti ya je utanipenda ila bado ya chini inasikika sana!!
 
Kwasababu tayari kichwani ushajiaminisha kuwa hiyo beat ni ya Fall, basi utalazimisha masikio yako mwanzo mwisho mpaka yakubaliane na unachokiamini.

- Ni kama mtu anaeona kitu ambacho wengi hawakioni - "ILLUSIONS"
 
Tatizo hata hujui biti ni nini.
Povu, haya kanywe maziwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom