BAKOI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,211
- 2,330
Wacha weweHuu ni mfumo wakawaida tu, unatumika sana West Africa kama unavoona akina tecno,olomide,davido,wizkid wanavofnya diamond mashindano yake ni dhidi ya hawa watu kaona kma Tz tunapwaya kimataifa dhidi ya hawa Wa nigeria maana wanatoa nyimbo kila kukicha
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app