Video: Diamond Platnumz-Eneka (Official video)

Video: Diamond Platnumz-Eneka (Official video)

Munahaha hadi munatafuta ameiba bit la nan sehem gan ya bit! Huyo davido muna hakika gan kama ye hajaiba bit hilo au ndo munamuonea wivu. Ni hiv mond anapasua anga na hakuna wa kumdondosha wale wa timu kiba subrn awaletee reremix ya aje

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Huu ni mfumo wakawaida tu, unatumika sana West Africa kama unavoona akina tecno,olomide,davido,wizkid wanavofnya diamond mashindano yake ni dhidi ya hawa watu kaona kma Tz tunapwaya kimataifa dhidi ya hawa Wa nigeria maana wanatoa nyimbo kila kukicha

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Hilo nalo neno ila akaze vyuma, tumepwaya sana
anatakiwa akang'ate kule kule wanapong'atia wao ,kma kwa tecno au selebobo mbona tutaenda nao sambamba
huku kwa lizer mimi sipaelewi

Sent From my C5 wereva
 
img_BWa38FMDmiB.jpg
 
Haya mabeat yalianzia kwa Ycee - omo alhaji

wakati IF inatoka nilidhani ni wimbo wa Ycee
zinafanana sana

Sent From my C5 wereva
 
Haya mabeat yalianzia kwa Ycee - omo alhaji

wakati IF inatoka nilidhani ni wimbo wa Ycee
zinafanana sana

Sent From my C5 wereva
samahani mkuu naomba unisaidie jina la yule video vixen wa ENEKA anolotumia instagram please... very urgent
 
pamoja na kuwa kwenye video Domo huwa hafunikwi na mtu.

tuwe wakweli, producer wa Diamond hii biti ka sample kwa Davido -fall, halaf alishindwa hata kuweka isi sound suspicious. kuna tatizo kubwa sana kwa huyu producer wa WCB, uwezo wake si mkubwa pia ana lack ubunifu, japo si producer mbaya.
Yeah...every bud knowz

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Bongo bahati mbaya...

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
pamoja na kuwa kwenye video Domo huwa hafunikwi na mtu.

tuwe wakweli, producer wa Diamond hii biti ka sample kwa Davido -fall, halaf alishindwa hata kuweka isi sound suspicious. kuna tatizo kubwa sana kwa huyu producer wa WCB, uwezo wake si mkubwa pia ana lack ubunifu, japo si producer mbaya.
Tunashindwa kuwa wabunifu kwenye beats na tunashindwa kujiuliza mbna studio ya MJ recods aijawahi kuinga beats za njee....tuwe makin kuchambua beats za wasanii wetu

Sent from my HUAWEI G730-T00 using JamiiForums mobile app
 
Dogo yuko vizuri jombaa.

Sent from my LG-H815 using JamiiForums mobile app
 
uwiiiiiiii mondi marry me

Sent from my Samsung galaxy- S7 edge using Jamiiforum mobile App
 
Haya mabeat yalianzia kwa Ycee - omo alhaji

wakati IF inatoka nilidhani ni wimbo wa Ycee
zinafanana sana

Sent From my C5 wereva
Beat pia inaendana na ile 'Mad over u' ya Runtown

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Hilo nalo neno ila akaze vyuma, tumepwaya sana
anatakiwa akang'ate kule kule wanapong'atia wao ,kma kwa tecno au selebobo mbona tutaenda nao sambamba
huku kwa lizer mimi sipaelewi

Sent From my C5 wereva
Hahaha ulvomkomalia uyo laizer...angekuckia nahc angeacha uwcb
 
Dogo yuko vizuri jombaa.

Sent from my LG-H815 using JamiiForums mobile app

Yupo vizuri na mjanja sana kwenye kupenyeza muziki wake kimataifa, hilo pin Nigeria ita hit sana, maana kawapigia kimaadhi ya kwao na pia kachanganya na lugha ya Igbo kidogo, atawashika sana tu
 
Back
Top Bottom