princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,657
- 19,274
Hahaha ulvomkomalia uyo laizer...angekuckia nahc angeacha uwcb


nmemshikia bangoTECNO-C5 Wereva
Hahaha ulvomkomalia uyo laizer...angekuckia nahc angeacha uwcb


nmemshikia bangoAta wakifanya hvyo bdo utawapinga tu.. We msubiri msanii wako ambae hana ratiba akufurahishe.. # malengo.. Unapoifananisha na fall Ndo inazid kupata promo.. Muda utaongeaDaaah kitu kama cha davido,wameshindwa ata fukia dah kweli bongo vituko,af hawa WCB wanatoa nyimbo kibao zote michujo kwann wactulie tu wakavunja kitu cha WCB album then wanang'oa ngoma moja moja kila mwez babaake,lazima watu wakae.
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
CEO wa WCB kaachia tena video ya ngoma ya Eneka kama alivyotoa ahadi ngoma baada ya ngoma,
Ipo poa au kazingua?
Kaona fire imezima, bola hata I miss you nayoHuku kuachia ngoma nyingi n dalili ya kutojiamini
Sent from my HUAWEI Y625-U32 using JamiiForums mobile app