N njaakalihatari JF-Expert Member Joined Feb 12, 2019 Posts 4,081 Reaction score 8,675 Aug 8, 2022 #1 Naama kijana mwenye maringo ya kutosha Kizz daniel anaendeleza zile tabia zake na saafari hii kafanya yake jijini dsm We unaambiwa warembo ndiyo walikuwa warusha chupa wakubwa.
Naama kijana mwenye maringo ya kutosha Kizz daniel anaendeleza zile tabia zake na saafari hii kafanya yake jijini dsm We unaambiwa warembo ndiyo walikuwa warusha chupa wakubwa.
Poker JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 6,530 Reaction score 19,070 Aug 8, 2022 #2 Nina video nzima nilikuepo eneo la tukio! Watu walimind sana
Mwizukulu mgikuru JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 6,392 Reaction score 15,203 Aug 8, 2022 #3 Sijaelewa unamaanisha hao wanawake wa dar..wanaojipanga kama fimbo wakiwa sita kwenye godoro?
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,438 Reaction score 35,966 Aug 8, 2022 #4 Promota hajamlipa
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,008 Reaction score 28,342 Aug 8, 2022 #5 Ni mbunge au msanii huyo meushiwa makopo
O On This One JF-Expert Member Joined Nov 30, 2021 Posts 532 Reaction score 471 Aug 8, 2022 #6 njaakalihatari said: Naama kijana mwenye maringo ya kutosha Kizz daniel anaendeleza zile tabia zake na saafari hii kafanya yake jijini dsm weee unaambiwa warembo ndiyo walikuwa warusha chupa wakubwa Click to expand... Huyo ndo nani huko daslam
njaakalihatari said: Naama kijana mwenye maringo ya kutosha Kizz daniel anaendeleza zile tabia zake na saafari hii kafanya yake jijini dsm weee unaambiwa warembo ndiyo walikuwa warusha chupa wakubwa Click to expand... Huyo ndo nani huko daslam
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 94,072 Reaction score 132,537 Aug 8, 2022 #7 Kizz Daniel ndiyo nani Ova
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,311 Reaction score 89,479 Aug 8, 2022 #8 Aisee mbona uzi upo nusu nusu hivi?
N njaakalihatari JF-Expert Member Joined Feb 12, 2019 Posts 4,081 Reaction score 8,675 Aug 8, 2022 Thread starter #9 Poker said: Nina video nzima nilikuepo eneo la tukio! Watu walimind sana Click to expand...
Slim Senior Member Joined Nov 12, 2008 Posts 155 Reaction score 198 Aug 8, 2022 #10 Poker said: Nina video nzima nilikuepo eneo la tukio! Watu walimind sana Click to expand... Naomba clip hiyo
Poker said: Nina video nzima nilikuepo eneo la tukio! Watu walimind sana Click to expand... Naomba clip hiyo
Mtuflani Official JF-Expert Member Joined Dec 31, 2019 Posts 1,949 Reaction score 4,423 Aug 8, 2022 #11 Nimekaa mpaka kumi na moja alfajiri namsubiri jamaa hajatokea. 80k yangu imeenda bure.
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,243 Aug 8, 2022 #12 Poker said: Nina video nzima nilikuepo eneo la tukio! Watu walimind sana Click to expand... Aisee mmepigwa hela
Poker said: Nina video nzima nilikuepo eneo la tukio! Watu walimind sana Click to expand... Aisee mmepigwa hela
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,769 Aug 8, 2022 #13 KD anajibaribia music wake. Nigerians wanamsakama muda huu mitandaoni kwa hiyo tabia yake
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 20,598 Reaction score 44,423 Aug 8, 2022 #14 Kwani huyo dogo kafanyaje?? Sio wote tupo daslam, twitter, au insta Lete habari kamili basi. Karushiwa chupa kisa nini?? Kaumia/kudhurika maana hiyo michupa inayopasukia jukwaani ni hatar!?
Kwani huyo dogo kafanyaje?? Sio wote tupo daslam, twitter, au insta Lete habari kamili basi. Karushiwa chupa kisa nini?? Kaumia/kudhurika maana hiyo michupa inayopasukia jukwaani ni hatar!?
reymage JF-Expert Member Joined Aug 5, 2021 Posts 12,426 Reaction score 29,306 Aug 8, 2022 #15 Mzigua90 said: KD anajibaribia music wake. Nigerians wanamsakama muda huu mitandaoni kwa hiyo tabia yake Click to expand... Mkwe ulikuepo?
Mzigua90 said: KD anajibaribia music wake. Nigerians wanamsakama muda huu mitandaoni kwa hiyo tabia yake Click to expand... Mkwe ulikuepo?
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,334 Reaction score 22,279 Aug 8, 2022 #16 Ana tabia za dadaake, yaani kashindwa kupanda jukwaani kisa kakosa nguo za kupendeza!
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 8,390 Reaction score 10,465 Aug 8, 2022 #17 Acha akapambane na manyapara huko nyuma ya nondo wamkumbushe" NO SLEEP, NO SLEEP WAKE UP!"
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,317 Reaction score 185,575 Aug 8, 2022 #18 Wamnyoshe kidogo...
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 94,072 Reaction score 132,537 Aug 8, 2022 #19 Aliwachukulia poa wabongo naona Ova
political monger senior JF-Expert Member Joined Nov 26, 2020 Posts 1,873 Reaction score 6,136 Aug 8, 2022 #20 Yupo osterbay muda huu mjinga uyu dogo wacha wamnyooshe ajawajua vizuri wabongo Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo osterbay muda huu mjinga uyu dogo wacha wamnyooshe ajawajua vizuri wabongo Sent using Jamii Forums mobile app