Victoria Mwanziva amuwakilisha Katibu Mkuu UVCCM katika msiba wa Katibu UVCCM mkoa wa Tabora

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,895
940
Comrade Victoria C. Mwanziva Amuwakilisha Katibu Mkuu UVCCM Katika MSIBA wa KATIBU UVCCM MKOA TABORA

Kwa Niaba ya Katibu Mkuu UVCCM Taifa; Katibu Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa- Ndg. Victoria Mwanziva
Sambamba na Viongozi wa UVCCM Wilaya za Arusha.
Viongozi wa UVCCM Mkoa wa Arusha;
Mwenyekiti UVCCM Mkoa Arusha- Ndg. Omary Lumato
Katibu UVCCM Mkoa- Ndg. Ibrahim Kijanga
Sambamba na Viongozi wa CCM na UVCCM Mkoa wa Arusha

Wakiwa Mortuary Hospitali ya Mount Meru- wakisubiria Mwili wa Marehemu Katibu UVCCM Mkoa wa Tabora Ndg. Martha Mgasa aliyefariki Jioni Tarehe 2 Machi 2022; Hospitali ya Seliani-Arusha.

Ratiba ya msiba- Misa siku ya leo Tar 4 Machi 2022- Mchana kuaga na Misa nyumbani Korongoni, Lemara Arusha.
Kisha Misa- Kanisa la SDA NJIRO
Na mwisho jioni ni kusafirisha Dar Es Salaam kwa ajili ya mazishi.

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE

Victoria Mwanziva

Katibu Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa
IMG-20220304-WA0005.jpg
 
Kumbe na nyinyi CCM

MNAKUFAA.

Okey sawa


Marehemu hana kosa R.P.I

Lala salama

Nimemuona sana hapa niko Mount Meru hospital nimekaona sanaaa
Niwadereeee tuuu 😂🤣😂🤣😂🤣🤣
 
Back
Top Bottom