Mongella kuwa katibu mkuu CCM taifa na Makalla kuwa mwenezi wa CCM taifa

wankuru nyankuru

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
491
764
Kufuatia pangua pangua iliyofanywa usiku huu, uwezekano upo wa mabadiliko kwenye nafasi ya katibu mkuu wa CCM taifa ambapo John Mongella aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha anaweza kupewa nafasi hiyo na nafasi ya ukatibu mwenezi taifa kuchukuliwa na Amos makalla.

Takwimu zinaonesha hao ndio Kwa Sasa wanafiti kwenye hizo nafasi na wanaonekana wanakitu Cha kuisemea serikali juu ya mambo yaliyofanywa kuliko waliopo Sasa ambao wametulia sanaaa hatuoni makeke.

Lakini ikumbukwe Mhe Mongella ni mtu makini sana hasa kwenye counter attacks kwenye masuala ya siasa na uchaguzi na amebobea sana.
 
Ccm kwa kujichanganya hamjambo

Mmesahau mmoja hapo ni mwenyekiti zao la pamba atajibu hoja za LISu,kweli?
 
Kufuatia pangua pangua iliyofanywa usiku huu, uwezekano upo wa mabadiliko kwenye nafasi ya katibu mkuu wa CCM taifa ambapo John Mongella aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha anaweza kupewa nafasi hiyo na nafasi ya ukatibu mwenezi taifa kuchukuliwa na Amos makalla.

Takwimu zinaonesha hao ndio Kwa Sasa wanafiti kwenye hizo nafasi na wanaonekana wanakitu Cha kuisemea serikali juu ya mambo yaliyofanywa kuliko waliopo Sasa ambao wametulia sanaaa hatuoni makeke.

Lakini ikumbukwe Mhe Mongella ni mtu makini sana hasa kwenye counter attacks kwenye masuala ya siasa na uchaguzi na amebobea sana.
Toka Samia ameingia mmepata makatibu wakuu na katibu wenezi wangapi? Tatizo siyo watu, tatizo Mwenyekiti hajui siasa wala uongozi.
 
Wanajamvi I have a stomach bug stomach disorder yani naendesha nakutapika balaa. Yani naumwa sana I feel tired discomfort na sina hamu ya kula yani imenianza ghafla tu.

Sisi binadamu tukiwaga wazima na afya tuna jeuri sana nakujisahau. Najua nitapona tu ila nitamtanguliza Mungu.

Sasa hii hali ikikuta kwenye safari? Maisha ya binadamu hovyo kabisa. Yani najisikia vibaya. Naumwa asee.

Niombeeni nipate nafuu.
 
Pole sana mkuu
 
Meza flagyl
 
Kufuatia pangua pangua iliyofanywa usiku huu, uwezekano upo wa mabadiliko kwenye nafasi ya katibu mkuu wa CCM taifa ambapo John Mongella aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha anaweza kupewa nafasi hiyo na nafasi ya ukatibu mwenezi taifa kuchukuliwa na Amos makalla.

Takwimu zinaonesha hao ndio Kwa Sasa wanafiti kwenye hizo nafasi na wanaonekana wanakitu Cha kuisemea serikali juu ya mambo yaliyofanywa kuliko waliopo Sasa ambao wametulia sanaaa hatuoni makeke.

Lakini ikumbukwe Mhe Mongella ni mtu makini sana hasa kwenye counter attacks kwenye masuala ya siasa na uchaguzi na amebobea sana.
Hizi akili za Kibashite hizi; hivi kweli Mongella amwondoshe Emmanuel Nchimbi? Hizi bangi dah😂😂
 
Wanajamvi I have a stomach bug stomach disorder yani naendesha nakutapika balaa. Yani naumwa sana I feel tired discomfort na sina hamu ya kula yani imenianza ghafla tu.

Sisi binadamu tukiwaga wazima na afya tuna jeuri sana nakujisahau. Najua nitapona tu ila nitamtanguliza Mungu.

Sasa hii hali ikikuta kwenye safari? Maisha ya binadamu hovyo kabisa. Yani najisikia vibaya. Naumwa asee.

Niombeeni nipate nafuu.
Mbrrrrrr Mbrrrrrr
Umefakamia mabaga ya wazungu yamewekewa virutubisho
 
Kufuatia pangua pangua iliyofanywa usiku huu, uwezekano upo wa mabadiliko kwenye nafasi ya katibu mkuu wa CCM taifa ambapo John Mongella aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha anaweza kupewa nafasi hiyo na nafasi ya ukatibu mwenezi taifa kuchukuliwa na Amos makalla.

Takwimu zinaonesha hao ndio Kwa Sasa wanafiti kwenye hizo nafasi na wanaonekana wanakitu Cha kuisemea serikali juu ya mambo yaliyofanywa kuliko waliopo Sasa ambao wametulia sanaaa hatuoni makeke.

Lakini ikumbukwe Mhe Mongella ni mtu makini sana hasa kwenye counter attacks kwenye masuala ya siasa na uchaguzi na amebobea sana.
CCM ni empty set
 
Kufuatia pangua pangua iliyofanywa usiku huu, uwezekano upo wa mabadiliko kwenye nafasi ya katibu mkuu wa CCM taifa ambapo John Mongella aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha anaweza kupewa nafasi hiyo na nafasi ya ukatibu mwenezi taifa kuchukuliwa na Amos makalla.
Nchimbi amepwaya!!!
Huu uenezi unaweza kuchukuliwa na mtu tofauti na hao, Makala ameshindwa Dar bado hajaleta jipya Mwanza sidhani kama atafiti ngazi ya Taifa
 
Nilipendekeza humu ndani Makonda aondolewe kwenye nafasi ya Ukatibu auenezi, itikadi siasa na Mafunzo, na kuwekwa kuwa Naibu PM au vinginevyo Serikalini kwani huko ndiko anafiti na siyo kwenye Siasa...... Na vilevile nilitamani sana kumuona Kijana Nape akirudi kwenye Chama kuungana na Baba yake Kinana..... Sasa sijui imekuwaje......!!!!???
 
Wanajamvi I have a stomach bug stomach disorder yani naendesha nakutapika balaa. Yani naumwa sana I feel tired discomfort na sina hamu ya kula yani imenianza ghafla tu.

Sisi binadamu tukiwaga wazima na afya tuna jeuri sana nakujisahau. Najua nitapona tu ila nitamtanguliza Mungu.

Sasa hii hali ikikuta kwenye safari? Maisha ya binadamu hovyo kabisa. Yani najisikia vibaya. Naumwa asee.

Niombeeni nipate nafuu.
Acha kulialia mtoto wa kiume... Kaza wewe
 
Back
Top Bottom