Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,182
- 3,904
Imeniogopesha nikasinyaa kama nimelundikwa kwenye friji makambako.Hizi laana tena tunazitafutia nini? Tumekosa nini kuanza kujihusisha na merchant of death? Yes niliwahi kujiuliza inakuwaje hawa burundi ambao hawana natural resources nyingi wana hela za kununua silaha na kupigana kila kukicha. Now I know why...and unfortunately for such a big betrayal by some of our own.