The Farmer
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,658
- 557
Kizuri chajitangaza, kibaya chajiuza.
Wewe unaenena hayo, uliyajuwaje? una source? kama huna, ni wewe usemae uongo!
Ukisema fulani kajamba, inabidi ueleze, uliisikia harufu au sauti ya ushuzi?
Katika uongo ulioutowa wote, hakuna ulipoeleza sauti wala harufu? hizo (zako) ni riwaya za kusadikika.
Anae rubunika aamini, asie rubunika hatoamini!
Dar Es Salaam, Tunahitaji huo ukweli unao ufahamu sio ku-crash wakati huna unachijua juu ya swala hili. Kama hujui chochote kaa kimya.
check hii link Google Translate