Vick Kamata: Utajiri hu unahitaji maelezo ya ziada

Vick Kamata: Utajiri hu unahitaji maelezo ya ziada

- Kaka wacha majungu na siasa za makengeza sio nyie mliotuambia hapa kwamba utajiri wa Sugu ni halali maana alikuwa muimbaji wa muziki sasa hapa tofauti ni nini hasa ya hawa wanamuziki wawili kuwa na utajiri unaofanana? Sometimes mnakuwa na siasa za kuchekesha tulipouliza hapa kuhusu utajiri wa Sugu mlisema ni mwanamuziki sasa what is the problem hapa?

Le Mutuz
Mbona Mnyika ana ghorofa tangi bovu yeye ni wa miaka mingapi? mh. wengine wanamiliki costa zaidi ya 10 kama mh wa tunduma
 
- Kaka wacha majungu na siasa za makengeza sio nyie mliotuambia hapa kwamba utajiri wa Sugu ni halali maana alikuwa muimbaji wa muziki sasa hapa tofauti ni nini hasa ya hawa wanamuziki wawili kuwa na utajiri unaofanana? Sometimes mnakuwa na siasa za kuchekesha tulipouliza hapa kuhusu utajiri wa Sugu mlisema ni mwanamuziki sasa what is the problem hapa?

Le Mutuz

Hivi wewe kisokorokwinyu umesomea nini maishani mwako zaidi ya kupiga umbea na kutetea ujinga, jichunge utashikishwa ukuta na huo mtambi wako wote utanwyea. We kila kukicha unakalia siasa tu, CCM yako hiyo hiyo ndiyo itakayokuliza, muulize baba yako. Zee la watu halina hamu na siasa tena kazi kuwapiga watu majungu tu kama wewe. Unarithi vibaya sana.
 
Mkuu, mafanikio ya Kamata kwenye muziki ni madogo ukilinganisha na ya Sugu!
Kulinganisha muziki wa Kamata na Sugu ni kuwadhalilisha mashabiki wa ,uziki.
Muziki wa Sugu ni wa kivuta bangi zaidi na ndio maana ingawa yeye ndiye muanzilishi wa bongo fleva lakini hajawahi kupata tuzo.Sugu ni mvuta bangi mkubwa.
 
ebu mwacheni dada wa watu na vyake miasha yenyewe mafupi kama kaiba kapola kahongwa lakini kafani kiwa a nyie mkaibe muonekama kama mtafanikiwa mkanyeeekiipipa segerea watu na bahati zao walioletwa duniani nyie mliokimbizwa mlikotoka mnakuja duniani hadi mnazeeka hamna hata tukutuku ndo shida heheeeeeeeeeeeee mwenzenu akipata jilie vick vimekuja heheeeeeeeeeeeovyooooooo

Nawewe je? Sio useme wenzako naupande wako vp?
 
Kuna mahusiano makubwa kati ya utajiri wake na kulichezea 'dudu'
 
Jamani wanawake si wenzetu, wamekalia utajiri. unafikiri utajiri anaokalia vicky wa kawaida eehh. usichezee ile kitu, wahenga walisema ina kila kitu, magorofa, magari, watoto, dola na nk. usichezee mwanamke.
 
Tutajieni vibao vya viky kamata vilivyo-hit pengine tutaoanisha vizuri, usikute alichangamkia "kilimo kwanza" mapema si unajua tena National milling mwaanaangu!!!! (lafudhi ya kiteja)
 
Ccm oyeee! Ukiwa maskini utakuwa wa chama kingine huyo mazuri yote yake kazi nzuri., ubunge juu anacheza na hela kila wakati hawezi kuwa ns maisha magumu
 
- Kaka wacha majungu na siasa za makengeza sio nyie mliotuambia hapa kwamba utajiri wa Sugu ni halali maana alikuwa muimbaji wa muziki sasa hapa tofauti ni nini hasa ya hawa wanamuziki wawili kuwa na utajiri unaofanana? Sometimes mnakuwa na siasa za kuchekesha tulipouliza hapa kuhusu utajiri wa Sugu mlisema ni mwanamuziki sasa what is the problem hapa?

Le Mutuz

tatizo kubwa ni kwamba,hatupendi mazuri yatokee kwa wabunge ama wanachama wa ccm,yakitokea basi lazima tuweke chumvi nyingi ili mradi tu kuharibu radha,ila yakitokea kwa tuwapendao tutawapamba kwelikweli,hata kama utajiri wao unamashaka.
Tuvumilie tu Kijana Le mutuz
 
Sugu amefanya kazi miaka mingapi ukilinganisha na Vicky..

kaka ule mradi wa makaria ulikuwa na wake bwana mkubwa. na mkurugenzi wa clouse FM wakamzunguka na kuuhukua inavyosemekana jamaa baada ya kuja juu wale wezi wa miradi ya watu wakamlipa mabilioni ya hela kuficha sooo
 
Tatizo waTZ huwa hawaamini kama mtu anaweza fanikiwa kwa nguvu zake mwenyewe,kama hajaitwa fisadi basi watasema freemason..namna hii ni ngumu sana kuushinda umaskini

freemason imekuwa ticket ya kuhalalisha uvivu wa watu.
 
mwangalie vizuri huyo wa kiume halafu mwangalie kwa umakini sana riz kisha watafute watoto wa mama wa taifa utagundua kuwa mjomba ktk 6 kwa 6 huwa hana masihara ila binafsi nafurahi mno anavyowakanyaga kwani wanajipendekeza wenyewe. Lakini tuache masihara vicky amesimama acheni awe tajiri kwani wengi sana wanasubiri kwake.

dah aice kweli kabisa kwa hyo

riz 1 anamwita huyu mama ama nimekosea???
 
Kweli kitanda hakizai haramu wallah

mama wa taifa inabidi adai damu yake kakakae pale ikulu

mbaya zaidi wanaume tulivyo mafara kuna jianaume linatunza na kulea kabsa likijua mtotowak

nilishacema wanandoa tukienda kupma dna n chache zitakazopona hata za wachungaji

ni siri za mama zetu tu
 
haya twende kazi sasa hapo@Watu8. kaja
 
Attachments

  • cddd.jpg
    cddd.jpg
    38.9 KB · Views: 125
  • 228521_210798312278394_7593558_n.jpg
    228521_210798312278394_7593558_n.jpg
    8.8 KB · Views: 125
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom