black native
Member
- Jul 4, 2013
- 12
- 3
Ufisadi usiutetee hivyo.....lazima tuhoji mkuu
We uhoji kama nani?.. Ya kwako mbona hawayafuati
Ufisadi usiutetee hivyo.....lazima tuhoji mkuu
fursa nyingiii watu hawataki kuzitumia -- ha ha haSafI ametumia fursa ipasavyo....kutoka Ualimu hadi BOT then Bungeni mpaka kuwa Bilionea ndani ya miaka mitano.!!!
Ukiuliza amepataje mali hizo....jibu rahisi tu ametumia fursa.!!!
we mzee umechanganyikiwa,sugu unajua ana album ngapi?utalinganisha na huyu mdada haka kasingo kamoja ka wanawake na maendeleo sugu kaanza kuimba tangu ukiwa na miaka 30 mpaka sasa una miaka 55 huyu dada kaanza lini kuimba si useme tu chakula ya naniii,uzeee unakusumbua wewe- Kaka wacha majungu na siasa za makengeza sio nyie mliotuambia hapa kwamba utajiri wa Sugu ni halali maana alikuwa muimbaji wa muziki sasa hapa tofauti ni nini hasa ya hawa wanamuziki wawili kuwa na utajiri unaofanana? Sometimes mnakuwa na siasa za kuchekesha tulipouliza hapa kuhusu utajiri wa Sugu mlisema ni mwanamuziki sasa what is the problem hapa?
Le Mutuz
Kwa kuwa ni mwanamke hata haishangazi...
Le Mutuz,sometimes silence speaks louder than words,sio kila kitu uchangie.Hivi by the way 2015 unategemea kugombea jimbo gani? maana naona sera mpya ni Sioi-ism,naona mwenzio mtoto wa marehemu waziri wa fedha yuko ulingoni.
Huyo wa kiume kama Ridhiwani vile