Vick Kamata: Utajiri hu unahitaji maelezo ya ziada

Vick Kamata: Utajiri hu unahitaji maelezo ya ziada

kamata.jpg

cddd.JPG

Mwangalie Vizuri Huyo Wa Kiume Halafu Mwangalie Kwa Umakini Sana Riz Kisha Watafute Watoto Wa Mama Wa Taifa Utagundua Kuwa MJOMBA ktk 6 Kwa 6 Huwa Hana Masihara Ila Binafsi Nafurahi Mno Anavyowakanyaga Kwani Wanajipendekeza Wenyewe. Lakini Tuache Masihara Vicky Amesimama Acheni Awe Tajiri Kwani Wengi Sana Wanasubiri Kwake.
 
Nakumbuka Kuna watu wanasema bakhresa Na mengi walikuwa hohehahe km Vicky, Na mabilionea pale kariakoo waliochangamkia fursa za kwenda China walikuwa maskini vile vile
 
Nakumbuka Kuna watu wanasema bakhresa Na mengi walikuwa hohehahe km Vicky, Na mabilionea pale kariakoo waliochangamkia fursa za kwenda China walikuwa maskini vile vile

Umeona eeh? tatizo watu wanalala, hongera vicky kwa kuchangamkia "fursa"!
 
watu wengi sana wana pesa zaid ya hizo. Kama akikopa benki na kuwekeza kwenye biashara na ajira ikatumika kama collateral?

Tatizo waTZ huwa hawaamini kama mtu anaweza fanikiwa kwa nguvu zake mwenyewe,kama hajaitwa fisadi basi watasema freemason..namna hii ni ngumu sana kuushinda umaskini
 
Mwangalie Vizuri Huyo Wa Kiume Halafu Mwangalie Kwa Umakini Sana Riz Kisha Watafute Watoto Wa Mama Wa Taifa Utagundua Kuwa MJOMBA ktk 6 Kwa 6 Huwa Hana Masihara Ila Binafsi Nafurahi Mno Anavyowakanyaga Kwani Wanajipendekeza Wenyewe. Lakini Tuache Masihara Vicky Amesimama Acheni Awe Tajiri Kwani Wengi Sana Wanasubiri Kwake.
Ha ha haaaaaa Kama wanafanana sijui DNA inasemaje
 
kwa resources aliyo nayo sishangai ni matokeo ya full utilization of resources
 
- Kaka wacha majungu na siasa za makengeza sio nyie mliotuambia hapa kwamba utajiri wa Sugu ni halali maana alikuwa muimbaji wa muziki sasa hapa tofauti ni nini hasa ya hawa wanamuziki wawili kuwa na utajiri unaofanana? Sometimes mnakuwa na siasa za kuchekesha tulipouliza hapa kuhusu utajiri wa Sugu mlisema ni mwanamuziki sasa what is the problem hapa?

Le Mutuz

Le Mutuz, funguka utuambie ukweli kuhusu utajiri wa ghafla wa Vicky Kamata na Sugu! Kama kweli Vicky Kamata ni nyumba ndogo ya Sindbad wa Msoga, hakuna sababu za kuuliza utajiri kautoa wapi! Manake Sindbad ni mfanyabiashara wa kimataifa!
 
ebu mwacheni dada wa watu na vyake miasha yenyewe mafupi kama kaiba kapola kahongwa lakini kafani kiwa a nyie mkaibe muonekama kama mtafanikiwa mkanyeeekiipipa segerea watu na bahati zao walioletwa duniani nyie mliokimbizwa mlikotoka mnakuja duniani hadi mnazeeka hamna hata tukutuku ndo shida heheeeeeeeeeeeee mwenzenu akipata jilie vick vimekuja heheeeeeeeeeeeovyooooooo
 
- Kaka wacha majungu na siasa za makengeza sio nyie mliotuambia hapa kwamba utajiri wa Sugu ni halali maana alikuwa muimbaji wa muziki sasa hapa tofauti ni nini hasa ya hawa wanamuziki wawili kuwa na utajiri unaofanana? Sometimes mnakuwa na siasa za kuchekesha tulipouliza hapa kuhusu utajiri wa Sugu mlisema ni mwanamuziki sasa what is the problem hapa?

Le Mutuz

Yees muzeya wa mabebs! Mpe bana, vipi Lagos mukulu?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom