Utajiri gani wa kutisha hapo?
- Kaka wacha majungu na siasa za makengeza sio nyie mliotuambia hapa kwamba utajiri wa Sugu ni halali maana alikuwa muimbaji wa muziki sasa hapa tofauti ni nini hasa ya hawa wanamuziki wawili kuwa na utajiri unaofanana? Sometimes mnakuwa na siasa za kuchekesha tulipouliza hapa kuhusu utajiri wa Sugu mlisema ni mwanamuziki sasa what is the problem hapa?
Le Mutuz
Hata mimi nimekuwa nikijiuliza hilo
watu wengi sana wana pesa zaid ya hizo. Kama akikopa benki na kuwekeza kwenye biashara na ajira ikatumika kama collateral?
Kwa kuwa ni mwanamke hata haishangazi...
Le Mutuz,sometimes silence speaks louder than words,sio kila kitu uchangie.Hivi by the way 2015 unategemea kugombea jimbo gani? maana naona sera mpya ni Sioi-ism,naona mwenzio mtoto wa marehemu waziri wa fedha yuko ulingoni.
Kwa kuwa ni mwanamke hata haishangazi...
huyo mzee nadhani huwa anawagonga wote,wewe na vicky,bila hivyo usingejua.Kitu ya
Mzee
- Punguzeni siasa za makengeza Sugu na huyu dada wote walikuwa wanamuziki ni sawa kabisa kuwa na huo utajiri walionao!!
Le Mutuz