Vick Kamata: Utajiri hu unahitaji maelezo ya ziada

Vick Kamata: Utajiri hu unahitaji maelezo ya ziada

haya twende kazi sasa hapo@Watu8. kaja

Naona huyo wa kulia kakosa miwani tu na kashaanza kurithi kukenuakenua kama Mangunga wa Msoga!! Ukimvalisha na yale mapete na hiyo height yake ni full copy,Wacha Rizimoko awe busy na ufisadi,ana wadogo zake kama 25 hivi!!!
 
Last edited by a moderator:
- Kaka wacha majungu na siasa za makengeza sio nyie mliotuambia hapa kwamba utajiri wa Sugu ni halali maana alikuwa muimbaji wa muziki sasa hapa tofauti ni nini hasa ya hawa wanamuziki wawili kuwa na utajiri unaofanana? Sometimes mnakuwa na siasa za kuchekesha tulipouliza hapa kuhusu utajiri wa Sugu mlisema ni mwanamuziki sasa what is the problem hapa?

Le Mutuz


Nna mashaka sana kama kweli this fela ni uzao wa one genius Dr.John Samwel Malecela, maana yake uwezo wako wa kuchanganua mambo uko very shallow sana, kuna masuala ya msingi yasiyohitaji tafsiri za kisiasa we unaleta siasa, shame on U Le Mutuz
 
as much as sipendi watu kujilimbikizia mali kuna kitu hakiko sawa hixo bei za magari si sahihi.... alteza haiwezi fika mil 25 maximum 15!!!
 
We wadhani hao watoto kajizalisha mwenyewe?

Nafahamu kwamba hakujizalisha mwenyewe, lakini vile vile wako wanaume wengi tu masikini wa kutupwa hutembea na matajiri.

Na siyo lazima kuhongwa ili upate mtoto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom