Uchaguzi 2020 Vicent Mashinji achukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM

Huyu Jamaa anampandisha Halima Mdee ghadhabu, Halafu Mimi sijawahi kumuelewa tangu akiwa CHADEMA ni wazi huyu anaamini katika Vyeti vyake ambavyo hawezi kuvitetea, Siasa haiwezi amepooza.

Kiifupi tu kwa Siasa siyo upande wake maana Hana mvuto, HAJUI kucheza na Audience, Hata Sauti ya Vocal Hana. Halima Kinachomsaidia Ni Ile Sauti yake ya mkwaruzo, Inaleta uhalisia,
 
Uchaguzi wa mwaka huu utavunja rekodi nyingi. Ni uchaguzi ambao umekuwa na watia nia wengi kuliko chaguzi zote ambazo nimezishuhudia.

Ni uchaguzi ambao naona wakuu wa mikoa wakiacha nyadhifa zao na kukimbilia kugombea ubunge. Ni uchaguzi ambao hata wazee kama Wassira na Kapuya bado wanaona wana nafasi ya kuwa wabunge tena.

Sasa tusubiri kura za maoni kwa wagombea na watakaopitishwa kuwania ubunge. Kuna watu watazimia kama siyo kufa kabisa!!!
 
Huyu Jamaa anampandisha Halima Mdee ghadhabu, Halafu Mimi sijawahi kumuelewa tangu akiwa CDM,Ni wazi huyu anaamini katika Vyeti vyake ambavyo hawezi kuvitetea, Siasa haiwezi amepooza.

Kiifupi tu kwa Siasa siyo upande wake maana Hana mvuto, HAJUI kucheza na Audience, Hata Sauti ya Vocal Hana. Halima Kinachomsaidia Ni Ile Sauti yake ya mkwaruzo, Inaleta uhalisia,
Mtake msitake huyo ndiye Mbunge wenu mtarajiwa wa Kawe, Mdee atapigwa asubuhi tu
 
Back
Top Bottom