Vibonzo vya mtume mohamadi mjini texas

Vibonzo vya mtume mohamadi mjini texas

Status
Not open for further replies.

Wa nyamadyaki

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2013
Posts
1,178
Reaction score
529
Polisi mjini Texas wanasema kuwa wamewapiga risasi na kuwaua watu wawili waliokuwa na silaha, waliowashambulia walinda usalama kwa risasi, walipofika katika eneo la hafla moja yenye utata ya uchoraji wa vibonzo vya kuwakejeli waislamu na mtume Mohammed. Duru za habari zasema kuwa kisa cha ushambuliaji wa risasi kimefanyika katika sherehe moja, iliyokuwa ikifanyika mjini Dallas, mahala ambapo waandalizi walikuwa wakiendesha onyesho hilo. Hafla za Sherehe hiyo iliyoandaliwa na kundi moja la kisiasa la kihafidhina, ambalo limekuwa likikejeli Uislamu, lilikuwa litoe zawadi nono ya dola milioni kumi kwa mchoraji kibonzo mahiri zaidi, atakayeibuka mshindi kwa kumchora mtume Mohamed. Polisi mjini Texas Mwanasiasa kutoka Uholanzi Geert Wilders -- ambaye anafahamika kwa matamshi yake dhidi ya kuwadunisha waislamu, alikuwa msemaji mkuu katika hafla hiyo. Aliyeshuhudia ameiambia BBC kuwa, aliwaona maafisa wa polisi wakimtia mbaroni mshukiwa wa tatu, ambaye alionekana kuwa hana silaha. Kikosi cha kutegua mabomu pamoja na ndege za helikopta za polisi zimefika mahali hapo kwa sasa.
 
Hiyo ndiyo upendeleo au double standard wa nchi za Magharibi na Umarekani, unaweza ukatukana au ukachora katuni za viongozi(Mitume) wa dini na ukawakashifu, inayofuatwa na mabilioni ya watu ulimwenguni kwa kisingizio cha free speach, lakini unaweza ukafungwa jela kwa kuuzungumzia vibaya uteketezwaji wa wa Waizraeli uliotokea nchi za Magharibi.
 
Dini zingine bana wanauakika gani kama hiyo nikatuni ya Bwana Muhammad wakati hakuna anemjua
Muhamadi kwa Picha ,kweli hii dini wanaulemavu waakili
 
Dini zingine bana wanauakika gani kama hiyo nikatuni ya Bwana Muhammad wakati hakuna anemjua
Muhamadi kwa Picha ,kweli hii dini wanaulemavu waakili
Hivi wewe unaesema waislamu wana ulemavu wa akili, hivi hapa kwetu unaweza chora katuni ya Raisi na ukamuandika jina lake katika hiyo katuni ukamwuelezea vibaya.
 
Hapana siyo kweli.ukisema hivyo unawatukana waumini.Wewe baki na dini yako na wao wabaki na dini yao.

Tatizo wanaenda kuwabuguzi wengine , kwa nn wavamie mahali watu wanachora kisa katuni imeandikwa Muhammad
Wakati kuna akina Muhammad's wengi ,
 
Charlie-Hebdo-cartoon3.jpg
.
jamaa bana,eti huyo wa mbele ni mungu,halafu wa nyuma yesu(cheki alama za misumali miguuni na mikononi,kisha taji).
halafu kwenye masabuli ya yesu kuna pembetatu ya freemasoni.
jamaa watata
 
Hivi wewe unaesema waislamu wana ulemavu wa akili, hivi hapa kwetu unaweza chora katuni ya Raisi na ukamuandika jina lake katika hiyo katuni ukamwuelezea vibaya.

Kuna mkina Muhammad's wengi duniani , wegine ni walevi , vibaka ,wazinzi , na wengine ni Mashoga kama unti Mudi
Sasa wanauhakika gani kama anechorwa ni huyo Mudi wa kwenywe kitabu vha Hadith
 
Dini zingine bana wanauakika gani kama hiyo nikatuni ya Bwana Muhammad wakati hakuna anemjua
Muhamadi kwa Picha ,kweli hii dini wanaulemavu waakili

Acha uduwanzi wewe.Kama ingekuwa si utovu wa nidham kwa uislam kwanini wanaendelea?Tumbili kweli ....
 
Hiyo ndiyo upendeleo au double standard wa nchi za Magharibi na Umarekani, unaweza ukatukana au ukachora katuni za viongozi(Mitume) wa dini na ukawakashifu, inayofuatwa na mabilioni ya watu ulimwenguni kwa kisingizio cha free speach, lakini unaweza ukafungwa jela kwa kuuzungumzia vibaya uteketezwaji wa wa Waizraeli uliotokea nchi za Magharibi.

Waisrael na mtume au uislam vimefikaje hapa! Mara ngapi yesu anachorwa na kuitwa mwizi wa mbao na nyie wapinga Kristo, na wakristo wakiwavumilia na kumwomba Mungu wao awatendee awezavyo yeye nyie hizo nyege za kumpigania mtume kwa kumwaga damu za watu mnazipata wapi?
 
Kwa dhambi ile ile waloipata walochora ndo unayoipata wewe msambazaji.Mjaa lana wewe.

kuna uhuru wa habari wewe,hii kitu mbona iko tu magazetini.halafu kama dhambi si ni yangu.atakaechomwa moto si ni mimi bana,kinakuuma nini?
 
Charlie-Hebdo-cartoon3.jpg
.
jamaa bana,eti huyo wa mbele ni mungu,halafu wa nyuma yesu(cheki alama za misumali miguuni na mikononi,kisha taji).
halafu kwenye masabuli ya yesu kuna pembetatu ya freemasoni.
jamaa watata

mimi ni mkristo ila sijachukizwa na kibonzo hiki..
ningepata nafasi ya kuwashauri ningeshauri watoe toleo la kiswahili ili nifaidi zaidi.
 
Kuna mkina Muhammad's wengi duniani , wegine ni walevi , vibaka ,wazinzi , na wengine ni Mashoga kama unti Mudi
Sasa wanauhakika gani kama anechorwa ni huyo Mudi wa kwenywe kitabu vha Hadith

Acha kudhihaki mitume wa dini za wenzako wee rojo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom