Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,371
Wanaume tunadanganywa sana, tuna bambikiwa mimba, tunadanganywa kwa mimba feki, MP feki, rangi ya ngiozi feki, nywele feki, kucha feki, kope feki, matsabury feki, wanawake feki aka mashoga! Kwa vile wamekuwa feki hatuna namna nyingine ya kufanya, nikupiga tu!
tunakoelekea kupata mwanamke oreginal itakuwa ishu kama ilivyo cm original now