donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
yan hawa kina dada wanatafuta kila njia kutuvutia......kama huna mvuto huna tu...bado kidogo zitatoka papuch....
Heee hayo ni majaladio Jamani msishangae akifika uwanjani anakua flate
kuweni makini wanaume mengi yanabuniwa kuwatega
yan hawa kina dada wanatafuta kila njia kutuvutia......kama huna mvuto huna tu...bado kidogo zitatoka papuch....