Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,506
- 11,439
Inasikitisha sana kwa kweli. Na wengi waliokuwa na vibanda pale ni walemavusina lakusema.
poleni machinga.
Inasikitisha sana kwa kweli. Na wengi waliokuwa na vibanda pale ni walemavusina lakusema.
poleni machinga.
Zoezi la ubomoaji vibanda vyote vya biashara katika jengo la Machinga Complex Ilala , Dar es salaam, limewaacha wengi kwenye majonzi.
Wafanyabiashara hao kwa masikitiko zaidi wanasema kubomolewa vibanda vyao vya biashara na uharibifu wa Mali zao ni uonevu na wao hawana la kufanya.
Kuna taarifa zingine zinasema wafanyabiashara hao walitafadhalishwa na uongozi tokea awali kwamba wabomoe vibanda vyao na wahamie ndani ya Jengo hilo la Dar es salaam Business Park, au Machinga Complex.
Wafanyabiashara wamewasha moto katikati ya barabara eneo la Machinga Complex jijini Dar baada ya kukuta vibanda vyao vimevunjwa.
View attachment 490574 View attachment 490575 View attachment 490576View attachment 490584
Inasikitisha sana kwa kweli. Na wengi waliokuwa na vibanda pale ni walemavu
Sometimes tuwe serious....kwanini biashara isifanyike ndani ya majengo?Hahaha jamaa kadhamiria kuwaondosha watu Dar na kuwarudisha kijijini, basi bhana ngoja uchumi uzidi kukua
Alisemaje?Mwenyekt wao nakumbuka kauli zake
Mkuu kwa Tz bidhaa ndio umfuata mteja...hatuna tamaduni ya kufanya shopping so tunanunua tukiona kitu barabarani kikakuvutiaHawa machinga wengi ni watu waliokosa elimu na wenye elimu pia wameficha taaluma zao na kujiingiza katika kundi la wapumbavu.
Mmejengewa jengo zuri na lililopangwa kitaalamu kwa ajili yenu hamtaki kwa sababu ambazo zinatatulika kwa urahisi sana.
-Kama tatizo ni kodi kubwa, ni suala la kuongea na uongozi wao wangepeleka malalamiko halmashauri, kwa ninavyojua Makonda wa Dar mpenda sifa angelitatua haraka.
-Kama tatizo ni wateja hawataki kuingia ndani, hili suala ni la uongozi wao wa machinga kutoa shinikizo wafanyabiashara wote waingie ndani na nje hatoruhusiwa mtu labda tu vizimba vyote viwe vimejaa. Wateja huwa hufuata bidhaa zilipo, lazima kama wateja tungeona fahari kuingia ndani kufuata babidhaa.
Wapigwe na virungu, mabomu ya machozi na lupango waingizwe baadhi yao ili wawe wafuata sheria na kanuni.