Vibanda vya Machinga Complex vyabomolewa, Machinga wahaha

Vibanda vya Machinga Complex vyabomolewa, Machinga wahaha

kwa hiyo walikataa kukaa ndani wakaweka vibanda nnje ya jengo la biashara ili watu wasiingie ndani wakija waishie hapo nnje, wao hawalipi kodi huku wanauza, walio ndani wanalipakodi lakini hawauzi.
Ña Wale machinga wa kariakoo unasemaje mkuu? Ña wale tukawatimue maana hawalipi kodi pia
 
Sasa kwanini hawataki kuingia ndani tukijua hapo nitarudi ku comment vitu vingine sasa wamezidi vitu vingine unyumbu mi na ndugu yangu kariakoo ikifika saa kumi hufunga duka nakurudi home kisa hao jamaa anakwambia wanapanga bidhaa zao mpaka milangoni afu wanavunja bei mteja akija anaishia pale anasepa ye auze lini sasa na kodi ya jengo juu bado TRA bado leseni hao machinga wana penda vya bure
 
Inaonekana kuna moto maeneo ya Machinga complex sabubu ni wafanyabiashara wadogo wamechoma.hbr zaidi zinakuja
 
Madai yao ni nini?

Tanzania ya viwanda...
 
Tatizo vizimba vyote vya ndani vimechukuliwa na matajiri ambao huwakodisha kwa bei ya juu. Nashauri watu wa Serikalini na viongozi wenye vizimba wanyang'anywe wapewe machinga.
 
Naunga mkono hoja waingie ndani
Humo ndani ingekuwa wanaingia bure nadhani wangekuwa wa kwanza kujaa,shida ni kwamba maeneo ya ndani wanasiasa wamejitwalia halafu wanawatoza kodi kubwa wamachinga,,na hili suala halijawahi kupatiwa ufumbuzi
 
Humo ndani ingekuwa wanaingia bure nadhani wangekuwa wa kwanza kujaa,shida ni kwamba maeneo ya ndani wanasiasa wamejitwalia halafu wanawatoza kodi kubwa wamachinga,,na hili suala halijawahi kupatiwa ufumbuzi
Iundwe kamati ichunguze jambo hilo na ikiwezekana mikataba isainiwe upya.
 
Aisee mbona mkulu alisema wasiondolewe mpaka watakapo pewa maeneo ya kuhamia, au ilikuwa ahadi hewa
 
Ña Wale machinga wa kariakoo unasemaje mkuu? Ña wale tukawatimue maana hawalipi kodi pia
Ngoja kwanza, hapa tunawazungumzia hawa walio nje ya jengo maalum kwa ajili yao, pia sijasema kuwa naunga mkono waokufukuzwa, kuna mengi sana yakuangalia, je ni kwanini hawataki kuuza bidhaa ndani, kuna kipindi walikuwa wanalalamikia utawala wa jengo, je ishu yao isha kuwa solved.
 
Acha waisome namba eeeh sisiemu mbele kwa mbeleee!
 
ISOMENI TU NAMBA.

2020 TUKIWAAMBIA HUYU HAFAI MTAKUWA MSHAPATA AKILI.
 
Walikuwa wanachafua jiji, angalau sasahivi pana muonekano mzuri. nice
 
Back
Top Bottom