Paloma bana...!Mtambuzi hahahahaaaa umeniandikia mimi au yule dadako pale nje siku ileeeeeeeeeeee..........
Unajua unakosea kusema kama bata....bata ndo kaumbwa hivyo ana matege yake namove kwa maringo! Hali kadhalika wanyama wengineo!
Cha msingi ni uwezo wa kuvitembelea! kama uko comfy unaweza kutimba navyo daily ofisini poa tu!!!
Ila kuna issue ya kuumwa mgongo na viuno huko mbele............ngoja watafiti watifue
ni kweli inachekesha aisee. Kuna siku nilisafiri na dada mmoja, wakati tunaenda kupanda ndege nikajua ni mlemavu. Nikatamani kumsadia but didnt for security reasons. Wakati tunashuka ndo nikagundua kumbe ni viatu. Alikuwa na bag kubwa lisilo na matairi na hakulicheck in. Nilimshangaa kimoyomoyo.
Kitu muhimu ni kuhakikisha viatu vinakupa support ya kutosha. Kama siwezi kutembelea kwa madaha (kama mama), na kwa haraka (i walk very fast hata kama sina haraka) basi viatu hivyo siviwezi. But high heels are so sexy kwa kweli, manake vinabadilisha hata mirindimo.
Ni muhimu pia kuvaa viatu kutegemeana na occassion. Mfano, kuvaa very high heels ofisini, ni kujiadhibu. Ndio unakuta ofisi nzima kila mdada kavaa vindala vya kimasai. Saa ya kutoka ndo anavaa viatu. Muda wote unakuwa kwenye gari hata hufurahii viatu. Ni muhimu kuwa na height tofauti kwa occassions tofauti.
Japo sio rahisi sana kuitwa mwanamke, lol. Mata ujitoboe macho na mascara, mmmppphheewww!
HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEH! mlongo wangu!
Mtambuzi zamani nilikuwa mteja sana wa Hivi viatu ..Nakumbuka siku moja nilidondoka na kiatu mguu ukaumia
Ilikuwa Party pia kumbe aridhi ile ukikanyaga kiatu kinaingia kwenye udongo
Sitasahau kisigino cha kiatu kilikatika sikumbuki ilitokeaje
Sasa nimepunguza kuvaa viatu virefu..
Hiki unatembea nacho aje?
hahahhahaah! Yaani Mtambuzi umenifanya nicheke sana,halafu inaonyesha huwa unatuchunguza sana wanawake haya bwanaMimi wakati mwingine huw anacheka sana huko barabarani, ukiwaona dada zetu kwenye mitoko jinsi wanavyotembea utadhani bata...
Yaani mpaka unajiuliza, 'kavalishwa...!'
Najua ni mambo ya fasion, lakini fasion si kuvaa tu, bali pia na kumiliki kile unachokivaa sio kikumiliki wewe..........!
Nikukumbushe tafadhali sio tren kama anaenda mbali hapana hapo anaenda kwa job,Treni ya Mwamkyembe atiisasa rafiki mchuchumio kwenye treni unafanya nini tena? lol!
mimi huwa nashangaa wadada wanaosafiri na michuchumio, yaani natamani kuwaamkia, lol!
hivyo viatu vinapendeza sana ila sheshe lake nalo si mchezo
Nikuwoni dada! (mbona mlinifundisha neno moja tu jameni lol)
KABISAAAAA . . . . .
Ashukuriwe mchina maana katuletea visandals vizuri vizuri viiiiiiiiiiiiingi!
FP nae mtoro sana siku hizi!
Tangu hiyo honey moon basi dunia anaiona kama vile yupo yeye tu mumewe! lol
ha haaaaaaaaa, chezeya uteja weye, lol! tumeshikamana mwenzangu, na huyo mlongo wetu Kipipi aje ashikamane au hajapata bado teja?ah kwani we hujui uteja mlongo wetu!
wenzio tunakimbia rehab ujue?hatutaki arosto milele oh!ila mi nipo pande ambazo dozi yangu haipatikani!inabidi niwe mpole tu!
mlongo wangu nimesikiliza maneno ya rafiki yangu BAK anasema ukishikwa shikamana, sasa na mimi nimeamua kushikamana wengo......... nisije nikaanguka bure, lol!
za magono mlongo wangu
ah kwani we hujui uteja mlongo wetu!
wenzio tunakimbia rehab ujue?hatutaki arosto milele oh!ila mi nipo pande ambazo dozi yangu haipatikani!inabidi niwe mpole tu!
ha haaaaaaaaa, chezeya uteja weye, lol! tumeshikamana mwenzangu, na huyo mlongo wetu Kipipi aje ashikamane au hajapata bado teja?
Nikuwoni dada! (mbona mlinifundisha neno moja tu jameni lol)
KABISAAAAA . . . . .
Ashukuriwe mchina maana katuletea visandals vizuri vizuri viiiiiiiiiiiiingi!
kwetu ndo kama unavyoona mlongo wangu, "tunashikamana", lol!Haya bana ila uwe unatuma hata sms basi!
Nzuri tu ndugu yangu, hamjambo huko kwenu?
raha ya kuwa teja ni kufika kwenye max point, lol! hiyo ni according to meHahahaa
Kila mtu huwa teja kwa kiasi chake japokuwa nyie mmesonga mbali mno!