hapo chacha!babako hafai mi nakwambia sema tu ndo nimegundua ni shemeji siku hizi siwezi tena kumuitia msuto!yaani mdingi ana kazi ya ku-measure kishuzi cha shemeji yake? Usije home hadi maza amalize uzazi, huyu mzee namhofia aisee.
Ha ha ha haaaaaa.....
Hapo kwenye BOLD nimecheka sana aisee..................!!!!!!!!!!
mchuchumio mie ulishanishinda siku nyiiiiiiingi, na huu urefu nikivaa si nitakua kama ngongoti? Navaa size fulani ya mchuchumio tena kwenye functions tu, ikizidi size niitakayo sivai........ Kisa cha kutegua miguu mie
mi na huu mwili wangu ujanja wa viatu virefu sina !mudamwingi sana ni flatties!na ikinilazimu virefu basi huwa ni vile vyenye visigino vipana!
shemeji ujumbe nimepata !
Na kweli shemeji, maana umejaaliwa kishuzi cha ukwee, enzi za ujana wangu, nilikuwa nauza ng'ombe za urithi ili kumpata mrembo wa aina yako.............Una bahati sana wewe...................LOL
Kwakweli mimi bila 6 inch sijatoka. Labda kama naenda sokoni.
Kama ni mziki hauchezeki bila high heels. I love love them.lolest.
Ashukuriwe muumbaji wa vitu vyote! Amen
na we shem unashabikia nini hapo!muone!
Shem Tushukuru kwa kila jambo!
Shem usivae kabisa utashindwa kukimbia!
AHAHHAHAHHA !huo ujanja sina mwaya!zinipite tu style !mi nikipiga umini wangu au gauni fupi down lazima nina kitu cha kichina kwa uflat!wavae tu wenye miili yao!na mi si unajua nina eneo la kufidia mahasira ya kushindwa kuvaa viatu vya kimiss!