'Vestiges' kwenye miili ya wanyama, ushahidi tosha kwamba hatukuumbwa, bali tuli-'evolve' kuwa tulivyo

Jibunu kwa facts sio kumbeza mtoa mada.
Mimi sikushangai hasa ukiwa unaongea ki sayansi ila ukija upande wa uumbaji wa Mungu nadhani facts ni nyingi kuliko huko kwenye sayansi. Jambo moja tuu ujiulize katika evolution zote hizo kwanini wanyama hajawa rational compared na binadamu mpka leo?
 
kwa hiyo haina kazi inamuumiza tu eenh
Haina kazi, ile mifupa ni vestige iliyobaki katika evolution yake ya kutoka kutembea ardhini hadi kuogelea baharini, imechukua millions of years, na bado after several milion years hata hiyo mifupa itakuja kupotea kabisa, if you don't use it, lose it, hiyo ndio guiding principle ya evolution.
 
Hata miguu na mikono hutokea ikakatwa na madaktari, does it mean haina kazi ?
Appendix zinakatwa bila kuleta athari yoyote ya kiutendaji au kiafya katika mwili wa binadamu. Leo tukikukata hata kidole.kimoja tu unachotumia kuandikia, utaweza kuandika?
 
Kwa mtu ambaye hajui biology broh ni ngumu kukuelewa

Ila usiseme hatujaumbwa sasa chief hapo mdo unakosea

Tuliumbwa na tukapitia hii adaption

Mimi naelewa na nakubali ulichoandika

Kweli coccxy hata hatuitumii ila sasa sio kwamba hatukuumbwa mzee usiseme hivyo
 
Jibunu kwa facts sio kumbeza mtoa mada.
Mimi sikushangai hasa ukiwa unaongea ki sayansi ila ukija upande wa uumbaji wa Mungu nadhani facts ni nyingi kuliko huko kwenye sayansi. Jambo moja tuu ujiulize katika evolution zote hizo kwanini wanyama hajawa rational compared na binadamu mpka leo?
Mazingira ndio hu-determine kiwango cha kila kitu, kuna mazingira yanafanya viumbe wengine wawe na greater physical prowess kuliko wengine, mfano kwanini binadamu hajaweza kuwa na mbio kama za duma hadi leo? Au kwanini binadamu hajaweza kuwa na shingo ndefu kama ya twiga hadi leo?
 
Kwa mtu ambaye hajui biology broh ni ngumu kukuelewa

Ila usiseme hatujaumbwa sasa chief hapo mdo unakosea

Tuliumbwa na tukapitia hii adaption

Mimi naelewa na nakubali ulichoandika

Kweli coccxy hata hatuitumii ila sasa sio kwamba hatukuumbwa mzee usiseme hivyo
Sijasema hatujaumbwa katika context hiyo, nimesema hatujaumbwa kuwa kama tulivyo leo na muonekano wetu wa leo at one go kama inavyolazimishwa na baadhi ya wachangiaji humu, na nimeshaweka bayana katika majibu ya nyuma hapo juu,ni kwamba most likely kilichoumbwa kilikuwa ni single celled organism na kikapitia hizo adaptive changes hadi kufikia idadi ya viumbe na kwa aina yao vilivyopo leo.
 
Anhaa hapo kisayansi upo sahihi kabisa

Yaani kisayansi hujakosea hata kidogo

Sio vestigal organ tu znaprove hiyo fact yako

Mfano muscle blocks (myototomes )

Aaha sema mkuu sitaki kuongea sana unaweza ukawa unabishana na watu hapa wakawa wana ku attack bila kosa
 
Kwahiyo binadamu alievolve tokea wapi? Je Ni kwenye samaki,nyani,bio-matters ?
 
Nimeshaeleza hapo juu kwamba, viashiria vinaonyesha kwaba hapo mwanzo kiliumbwa kiumbe ambacho ni mono-cellular, na ndio kime-evolve kuwa viumbe vya aina mbali mbali vilivyopo leo
 
Sitaki kuamini hivyo sababu Ndiyo uwezo wetu WA kufikiri umeishia mahali fulani hivi, Sababu uni-cellular to multi-cellular Ni vitu tunasoma Tu Na mechanism zake zote tunaona kwenye vitabu.

Mimi Mwenyewe kwa akili ya kawaida mwanadamu ataevolve wapi toka kwenye mchanganyiko WA dry matters+rain=living organisms.
 
Si nimeshakwambia Mungu aliumba a unicellular organism, akaevolve na kuwa vile tulivyo leo kwa aina na idadi mbalimbali za viumbe? Mfano mdogo tu, binadamu alipoondoka barani Afrika kwenye jua na akarnda ulaya kwenye baridi na jua hafifu, melanin kwenye ngozi inayozuia jua lisituumize ikaanza kupungua, na hatimae ikapungua sana kiasi wakawa na rangi tofauti na waAfrika waliotuacha huku. Kwahiyo mabadiliko hayo yalitokea kadri mazingira yalivyobadilika, ila imechukua maelfu kama sio malaki ya miaka
 
Hivi hii evolution inainvolve Genotype +Phenotype Na muda WA kuevolve Ni constant kwa viumbe wote ili tuanze kutrace Kati ya extinction Na distinction ya organisms kipi kina uzito.
 
Appendix zinakatwa bila kuleta athari yoyote ya kiutendaji au kiafya katika mwili wa binadamu. Leo tukikukata hata kidole.kimoja tu unachotumia kuandikia, utaweza kuandika?
So strange kwamba unaamini theories ziloletwa na binaadamu zinavyoeleza namna walivyoanzia, yaani bnd wenyewe wanajielezea namna walivyoanza na unawaamini, unapinga maneno ya Mungu ambaye ndie aliyewaanzisha binaadamu? Nani ana haki ya kuaminiwa kati ya aliyeumba na aliyeumbwa. Ni sawa na kuiamini computer ijieleze namna ilivyotengenezwa kinyume na maelezo ya aliyeitengeneza!!!
 
Hivi hii evolution inainvolve Genotype +Phenotype Na muda WA kuevolve Ni constant kwa viumbe wote ili tuanze kutrace Kati ya extinction Na distinction ya organisms kipi kina uzito.
Basis ya permanent phenotypic changes ni Genotypic adaption. Temporary phenotypic adaptions huwa haziwi included genome ndani ya muda mfupi, ili phenotypic adaptions ziweze kuwa included kwenye genes na hivyo kuwa permanent inahitaji muda mrefu ranging from malaki to millions of years
 
So strange kwamba unaamini theories ziloletwa na binaadamu zinavyoeleza namna walivyoanzia, yaani bnd wenyewe wanajielezea namna walivyoanza na unawaamini, unapinga maneno ya Mungu ambaye ndie aliyewaanzisha binaadamu? Nani ana haki ya kuaminiwa kati ya aliyeumba na aliyeumbwa. Ni sawa na kuiamini computer ijieleze namna ilivyotengenezwa kinyume na maelezo ya aliyeitengeneza!!!
Siamini binadamu, najadili, natafakri na kuconclude rationally and objectively hoja na ushahidi unaoletwa mbele yangu, ahsante.
 
Nilipata ya kutembelea makumbusho ya DSM niliongea kwa kina na wahusika kuhusu mtu wa kale kuwa tulikuwa samaki halafu tukaja kuwa watu baada ya maswali tulianzaje kubadilika kuwa watu alikubali kuwa nadharia ya Darwin ina mapungufu sana na kukubali kuwa kimsingi kuna umbaji umefanyika na Mungu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom