Sasa kwa maana hiyo hii discussion ipo nullified, sababu Ni miaka mingapi tokea dunia imetokea? Kama Ni laki au million je Kuna kiumbe chochote kimetokea au kuonyesha dalili(practically) au Ndiyo hivi literally tunaamini kila kitu.Basis ya permanent phenotypic changes ni Genotypic adaption. Temporary phenotypic adaptions huwa haziwi included genome ndani ya muda mfupi, ili phenotypic adaptions ziweze kuwa included kwenye genes na hivyo kuwa permanent inahitaji muda mrefu ranging from malaki to millions of years