Sa' lakini si unakumbuka mi nilipataga amnesia na nilivyo-recover ndo ukaniambia HS ni binamu yangu... au nimechanganya uliniambia Honey Faith ndo binamu yangu?! Yaani huu ugonjwa mbaya, dah!Jamani jamani, mbona unanisingizia mambo mazito hivi?
Unajua kabisaa HS ni dota wangu wa pekee kabisa, sema unatafuta visingizio.

