Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,600
- 6,721
Unaogopa nini?Gheto tena mhhhh?
Unaogopa nini?Gheto tena mhhhh?
Hongera sanaYakinipanda huwa nadinda![]()
Nina vyangu sasa hivi najilia kwa hamu..Kumbe ulimwagwa?hata sijui jamani poleeeeee![]()
Dota anaongea lugha yenye ukakasi!!Nawe unadinda?
Nitakuachia alamaUnaogopa nini?

Hahahaha umesema kinyonge jamani nahisi huko hauenjoy sanaNina vyangu sasa hivi najilia kwa hamu..

Naongelea kuhusu "kupatwa" kwakoMbona hata sielewi ni nini unaongelea?
Alafu hapo mwisho ndio umeandika nini dota, mbona lugha ngumu hivyo!!
Nimependa tu salamu yenuSijakuelewa unajua Heaven Sent.
Salamu ya kipendwaNimependa tu salamu yenu
Yaani wewe mchokozi.Hahahaha umesema kinyonge jamani nahisi huko hauenjoy sana![]()
![]()
Mie huwa si mchokozi sema nasemaga tu ukweliYaani wewe mchokozi.

Wanasambaza upendoSalamu ya kipendwa
Mweeeeh!!!Wanasambaza upendo
Hahahaha....anafumua makaburi na mafuvu yake.
Ila mwanafunzi wangu, wahenga wanasema ya kale ni dhahabu, mavi ya kale hayanuki na mdharau kwao mtumwa.
Btw mwanafunzi wangu mtiifu wewe, ni nani aliyekuficha mpaka huonekani popote?
Kila nikiku-search, sikuoni.....au DEMBA ndio anakufanya utusahau?
Sasa nimeamini ule utafiti......![]()
Mmoja wapo ni........kati ya wanne......