RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,797
- 129,631
Bae mbona sikuelewi?Hahahaha unaanza kuniuzia cd asubuhi hii maana nilipo hapa sijaconfirm baba wa mtoto ni nani![]()
Bae mbona sikuelewi?Hahahaha unaanza kuniuzia cd asubuhi hii maana nilipo hapa sijaconfirm baba wa mtoto ni nani![]()
He he he nafwaaaazYamkute mara ngapi, mpaka wanalazana nje na foleni ndeefu, mara wapelekane kwa manyau nyau!!!
Muache ajifariji maana yake ni mazito zaidi.
Honey Faith mimba ni ya nani? Teh teh teeeeeeh!!!
Hakuna haja ya kumuita maana whatever you say hawezi kukuamini so work done is equal to zero.....

Nauza chai hapa hakuna ukweli wowote hapa my sweet msukumaBae mbona sikuelewi?

Usife kabla yakuona mchezo nitakaoucheza....He he he nafwaaaaz

Nakuaminia bae.Nauza chai hapa hakuna ukweli wowote hapa my sweet msukuma![]()
Hehe na nilivyo mnywanywa, ntasubiri tuUsife kabla yakuona mchezo nitakaoucheza....![]()
Aisee kweli manyau nyau sio mtu mzuri.Hakuna haja ya kumuita maana whatever you say hawezi kukuamini so work done is equal to zero.....![]()
![]()
Hahaaaaa!! Hii inaitwa kupatwa kwa mimba.Subiri nikizaa sura ya mtoto itanijukisha yupi ni baba halali

Muache ajitoe ufahamu, kisingeli yetu ni ya vitendo, anadhani ni ya kipwani pwani eeeh!!!Unalijua colabo la mnyaki na mjaluo? Mwl frank haoni ndani
Mimba imepatwa, nshomile ye manyau nyau ashamkoroga anafuata kila anachoambiwa, anajua mimba ni yake kumbe hata kucha hajachangia.He he he nafwaaaaz
Hapana chezea huyu binti aisee!!Hehe na nilivyo mnywanywa, ntasubiri tu
Waoooh huyo ndio msukuma wangu atiii...Nakuaminia bae.

Haha kumbe kuna balaa la mkemia mkuu?Mimba imepatwa, nshomile ye manyau nyau ashamkoroga anafuata kila anachoambiwa, anajua mimba ni yake kumbe hata kucha hajachangia.
Halooo ya mkemia mkuu!
subira yangu ndo iloniponza. .....Hapana chezea huyu binti aisee!!
'Mtoto katoka mchinaa, nikauliza huyu vipii, mtoto kafuata kwa bibi yake na binamu yake shangazi'
Mie na pop corn zangu pembeni, akileta kibesi analazwa banda la kuku.

Hahaha plus kadamu ulikorithi kutoka kwa mamaHehe na nilivyo mnywanywa, ntasubiri tu

Kadamu gani? mtcheeewHahaha plus kadamu ulikorithi kutoka kwa mama![]()
Mbona unahangaika sana kwa mimba yanguMimba imepatwa, nshomile ye manyau nyau ashamkoroga anafuata kila anachoambiwa, anajua mimba ni yake kumbe hata kucha hajachangia.
Halooo ya mkemia mkuu!
Nahisi atakuwa yule mtaalam aliekung'oa kitafunio....Hahahaha unaanza kuniuzia cd asubuhi hii maana nilipo hapa sijaconfirm baba wa mtoto ni nani![]()
Usinichimbe maneno mie wakati unajua fika.....Kadamu gani? mtcheeew
Mungu wangu!!!! Khaaa!!Bae mbona sikuelewi?