Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
Makaburi ya Bunju yameshajaa... ukazikwe hukohuko ulikoacha hereni....He he he nafwaaaaz
Makaburi ya Bunju yameshajaa... ukazikwe hukohuko ulikoacha hereni....He he he nafwaaaaz
Hahaaaaaa!!! Sasa hapa Honey Faith ndio mkemia mwenyewe, kwahiyo hata hamna kesi.Haha kumbe kuna balaa la mkemia mkuu?
subira yangu ndo iloniponza. .....![]()
![]()
![]()
Sina nilijualo mie, labda uniambie weyeeeUsinichimbe maneno mie wakati unajua fika.....
Hahaha ntazikwa ndani ya nyumbaMakaburi ya Bunju yameshajaa... ukazikwe hukohuko ulikoacha hereni....
Yani kitafunio kimenitesa sana aisee ila sasa niko poa.Nahisi atakuwa yule mtaalam aliekung'oa kitafunio....
Afu hujanipa mlisho nyuma ujue...

Mbona unahangaika sana kwa mimba yangu
shikamooo Honey Faith.Nahisi atakuwa yule mtaalam aliekung'oa kitafunio....
Afu hujanipa mlisho nyuma ujue...
Imbombo jilipoHahaaaaaa!!! Sasa hapa Honey Faith ndio mkemia mwenyewe, kwahiyo hata hamna kesi.
Hahaaaaa!! Yaani leo nacheka kama mazuri, shikamoo babu.Mungu wangu!!!! Khaaa!!
Afanaaaaleki!!! Kifo hakina breki!!!Yani kitafunio kimenitesa sana aisee ila sasa niko poa.
Nina mpango wakufanya paternity testing ili niwe kwenye safe side...![]()
Unashangaa kama umeambiwa leo bia hakuna jamani?Mungu wangu!!!! Khaaa!!
Na kile ulichabana kunipa kitaliwa na nyenyere...Hahaha ntazikwa ndani ya nyumba
Najitolea kukusindikiza aisee, maana huyu mtoto wa mwendokasi.Yani kitafunio kimenitesa sana aisee ila sasa niko poa.
Nina mpango wakufanya paternity testing ili niwe kwenye safe side...![]()
Marahaba mchepuko wangu... kamimba nlikokuambukiza kanaendeleaje??Hahaaaaa!! Yaani leo nacheka kama mazuri, shikamoo babu.
Imbombo ngafu dota.Imbombo jilipo
Mie ndio mkemia tena wa WHOHahaaaaaa!!! Sasa hapa Honey Faith ndio mkemia mwenyewe, kwahiyo hata hamna kesi.

Bia ni nini??? Siku hizi nimeacha pombe... nakunyw grants...Unashangaa kama umeambiwa leo bia hakuna jamani?
Uwiiiiiiiiiiii!! Babu uniwacheeeeeee.Marahaba mchepuko wangu... kamimba nlikokuambukiza kanaendeleaje??

Kiliwe tu Kwa kweli kuliko kupatwa na bazaziNa kile ulichabana kunipa kitaliwa na nyenyere...
Akuuuu uje usambaze ubuyu humu?Najitolea kukusindikiza aisee, maana huyu mtoto wa mwendokasi.