Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Hahaha yani me hata kama huwa nipo barabarani, utasikia tu limsonyo langu. Upuuzi mtupuYaani hiyo kauli inanikerega natamanigi nikimsikia mtu anaisema nimtie boonge la singi, dady yako kanisumbua balaa.
Hivi una habari kipindi kile amepotea alikokuwa? Utachoka mwili na maini, kwakweli nastahili tuzo.
Weee alikuwa wapi?