Verossa

Verossa

mwalimu wangu nilikuwa nakimbiza mwenge, walau tuposho tupo tupo sio kama wajamaa wale, ngoja nije tuzitumbue,,,ila hapa hii sredi bana......@amu yuko wapi?
amu nimeambiwa hayupo mji huu.
Sasa sijui kajificha/kafichwa wapi aiseee
 
Maua muongezee atoto ampe chige...!!! Mimi uje kunipokea na chupa ya Dodoma wine pliz.
Huyu atoto mwenyewe haeleweki bhana... in short, hajatulia! Mara leo kwa chige, kesho atataka kujiegemeza kwa RRONDO... na mwanamke ukiona anambwelambwela namna hii basi fahamu anadaiwa kodi ya nyumba! Mwambie hapa mgegedo tu mengine ayapeleke kwa DED!
 
atoto penda penda.
Keshazama kwa RRONDO
Chezea mahaba wewe

Kwa RRONDO katoswa jana jana! hahaha kabaki kwa chige..naye naona mguu nje mguu ndani!

Nna wivu sana ujue
Na hapo nimeelewa tu I love hilo jingine nikielewa maana yake sijui tu hali itakuaje, ngoja nilale

Una wivu kama mwanafunzi wa pili,
Mimi ni wako...pekee...hakuna wa kuichukua nafasi yako
besides..una moyo wangu...watachukua nini zaidi!???
 
atoto penda penda.
Keshazama kwa RRONDO
Chezea mahaba wewe
Daaah Aibu naona mie kwa niaba ya bi mkubwa mwee

atoto unaijua nyota yako, tulia tu jamani mwee. Hivi hujafwariki tu huko uliko, naona nyuki naye kagoma kuchavusha maua hahaha khaa
Huyu atoto mwenyewe haeleweki bhana... in short, hajatulia! Mara leo kwa chige, kesho atataka kujiegemeza kwa RRONDO... na mwanamke ukiona anambwelambwela namna hii basi fahamu anadaiwa kodi ya nyumba! Mwambie hapa mgegedo tu mengine ayapeleke kwa DED!

Kwa RRONDO katoswa jana jana! hahaha kabaki kwa chige..naye naona mguu nje mguu ndani!

Una wivu kama mwanafunzi wa pili,
Mimi ni wako...pekee...hakuna wa kuichukua nafasi yako
besides..una moyo wangu...watachukua nini zaidi!???

Alah! Kumbe kapewa cha mbavu ndo maana wampigie debe kwangu! Mwambie aje hapa aseme kwanza nini kinamfanya asitulie! Aidha, aje na mkataba kabisa kuonesha keshalipa kodi ya nyumba!
 
Yaani bora tu uone aibu.
Mtoto hapendeki afu sasa mbaya zaidi penda penda.
Hebu kaa nae chumbani, uanze nae Ba, Be, Bi kuhusu hao wakwezo
Hahahaaaaaa!! Eti penda penda, unadhani ningekuwa nimependa ningehangaika? Sitatulia hadi nitakapopenda, alafu nikipenda hata hutojua madam, utastuka tu yuleeeeeee!!
Mwambie Heaven Sent aache majungu maana sio mtaji, kwa baba yake sirudi hata kwa mtutu.
 
Back
Top Bottom