Verossa

Verossa

Labda nikuulize wewe bi mkubwa
Kwakweli mie mwenyewe nimepigwa na bumbuwazi, ila ile michezo ya baba yako nina mashaka ukute hii ni product, ameamua kuja kivingine.
Maana nakumbuka yule dota wake(nimemsahau jina) yule wa kwenye pillow talk hata sina taarifa nae.
 
Haha usinikumbushe mie. Yule dota ana mabalaa khaa
 
Sa' mi kosa langu lipi @my princess sweetheart aple wangu?! Kwani mi ndo nimechagua tuwe binamu wa mjomba na shangazi? Mi si nimekuta tu; au?
Hayo majina ya kiinglish hapo ndio umemuita dota wangu?
 
Yangu tu ndio yanaonekana wakati mtulivu mie sina shida, ya baba yako ni mazito zaidi, we mtu anapillow talk na bintie si balaa hili!!
Daddy si wanasemaga nature yao sijui[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]
Sasa tunaanza na ulemon hata kabla ya asali si balaa hili.
Ngoja nifuatilie aweza kuwa our son huyu, baba yako anajijua mwenyewe.
 
Daddy si wanasemaga nature yao sijui[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]
Yaani hiyo kauli inanikerega natamanigi nikimsikia mtu anaisema nimtie boonge la singi, dady yako kanisumbua balaa.
Hivi una habari kipindi kile amepotea alikokuwa? Utachoka mwili na maini, kwakweli nastahili tuzo.
 
Back
Top Bottom