Vengu anaumwa nini?

Tuache utani na maradhi, wote ni wagonjwa wategemewa.
Nani aliwahi kuiona kesho?
Kabla hujafa hujaumbika. Tuwe na mioyo ya kiutu.
 
TUACHE UTANI NA MARADHI, WOTE NI WAGONJWA WATEGEMEWA.<br>NANI ALIWAHI KUIONA KESHO?<br>KABLA HUJAFA HUJAUMBIKA. TUWE NA MIOYO YA KIUTU.
 
sasa kipi ni kipi mara homa ya uti wa mgongo mara kisukari........yote kheri lakini Mungu amuangazie mwanga amponyeshe arudi kazini.
 
watanzania tuna roho mbaya ile mbaya....unafanyaje maskhara na maradh ya mwenzio,hujui anataabika jamani!

kunawatu wengine wapuuzi sana hii ni life tu!kila jambo linamwisho wake,namshangaa huyu anaemkashf mwenzie! Hajui kesho yake itakuwaje af istoshe hajui mungu ni huyohuyo anaweza kumgeuzia kibao akashangaa!
 
labda ana ngoma/miwaya

kwani ngoma ina maajabu gani!!! We unayesema hivi mzima? Acheni kuropoka tu!ngoma,malaria kaswende,degedege ,na mengine yooote sawa tu, na sote tupo njia moja,unamcheka mwenzio wakati pua yako imeelekea udongoni? Mwisho wa yooote haya ni six feets under iwe una sukari ngwengwe,au huumwi kabisaa
 
Kila nikifuatilia baadhi ya posts,mf hii.. Inachokoza hisia za watu. Mtu anaita AIDS ,ngwengwe,miwaya n.k.kama vile kumsanifu muathirika yoyote, anaweza kuwa blogger mwenzake pia. Anyway wataalamu wanasema hapa TZ each person is either infected or affected.. Na inadhihirisha kuna safari ndefu kuja kuondoa unyanyapaa kwenye jamii..(stigma)
 
Kuna vitu vya kuleta utani, lakini kwenye hili tuache jokes, Joseph Shamba (vengu) anaumwa na anahitaji maombi yetu, kwa hali ya kawaida binadamu kupoteza fahamu kwa siku 21, ni mungu pekee anahitajika amponye, sasa mwenzetu yupo kwenye hali kama hii, baadhi yetu tunafanya mzaha HAIPENDEZI
 
Kweli kabisa mpendwa, wala haipendezi. Tunamwombea na naamini maombi yetu yatamwamsha tena!
 
kwani ngoma ina maajabu gani!!! We unayesema hivi mzima? Acheni kuropoka tu!ngoma,malaria kaswende,degedege ,na mengine yooote sawa tu, na sote tupo njia moja,unamcheka mwenzio wakati pua yako imeelekea udongoni? Mwisho wa yooote haya ni six feets under iwe una sukari ngwengwe,au huumwi kabisaa

wala si uongo! Hakuna atakaye ishi milele!
 
Pole sana kaka Vengu. nilimsikia masanja akisema unaumwa lakini hakusema unaumwa nini na uko hospital gani. Ningejua uliko ningekuja kukuona. Yesu alisema "nilikuwa hospital humkuja kuniona ondokeni siwajui.'' Kama mfuasi wa mafundisho ya Yesu ningejua ulipo Bro ningekuja kukuona. Mungu akujalie Afya tena urudi chuoni na kwenye Original Komed. Tunakumiss sana.
 
Back
Top Bottom